bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Uswahilini unajilimia zako kuku na mayai bila tabu yeyeto kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni mjini,hakuna kitu inashindikamambo ya kupiga deki jau bana😅
Unataka kuwaharibia watu brand zao 😁😁, wengine tumekua sehemu nyingi kiasi cha kuzijua lifestyles tofauti na hatuvungi 😁Tatizo JF wote wanajifanya wa ushuani ila ukiangalia wanavyochambua huko uswahilini unabaki kujiuliza huyu mbona kama yule jirani yangu Beka🤣🤣?
Usicheke umasikini wa mtu. Usimcheke mwenye dhiki kwa maana hakuomba azaliwe kwenye ufukara.anaweza vaa dera moja week nzima (kauka nikuvae) atashinda nalo, lala nalo na kuamka nalo...
Tatizo wengi weo humu wanavunga sio wa uswazi wakati wanaoneka wanajua vichochoro vyote vya keko toroli😁Unataka kuwaharibia watu brand zao 😁😁, wengine tumekua sehemu nyingi kiasi cha kuzijua lifestyles tofauti na hatuvungi 😁
Kwanza muongo hapajui uswazi huyo,,huyu anaongelea kijijini labdaUsicheke umasikini wa mtu. Isimcheke mwenye dhiki kwa maana hakuomba azaliwe kwenye ufukara.
Acha kuwafanyia dhihaka waishio kwenye ufukara. Hongera wewe uliyezaliwa Mbezi Beach na Masaki.Wanapenda kuvaa dera bila chupi.
Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.
Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.
Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.
Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.
Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.
Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.
Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.
Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.
Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.
Ila joa igweeeee 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Tatizo wengi weo humu wanavunga sio wa uswazi wakati wanaoneka wanajua vichochoro vyote vya keko toroli😁
We huwajui watu wa JF,wote kwao Masaki,wote ni matajiri,wote Wana magari, wakati kiuhalisia hiiiHii mada inalenga kukejeli watu wa vipato vya chini kwa maana wao ni fukara. Masikini wasifanyiwe dhihaka. Waombeeni ili wao pia waje kuwa na maisha kama yenu nyie wa Masaki na OysterBay.
Wanavaa dera muda wote kwa maana hana vazi la kubadilisha. Hiyo ni dalili moja wapo ya umasikini. Usiwacheke bali wasaidie kupata nguo za ziada.Wanavaa dela mda wote popote tu pale kambi wanapandisha tu juu
Hao watakuwa wa kuja uswahili, Iswahilini ni Waislam, hawana ujinga ujinga. Mwanamke wa Kiislam anaefata Uislam wake utampata wapi wewe.Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.
Ongezea mengine kama yapo.
Ufukara ni m-baya sana. Nimeishi uswahilini more than 20 years hivyo ninaujua vema. Masikini wasaidiwe na sio kufanyiwa dhihaka.We huwajui watu wa JF,wote kwao Masaki,wote ni matajiri,wote Wana magari, wakati kiuhalisia hiii
Umasikini gani wakati wanamake Kwa kudangaWanavaa dera muda wote kwa maana hana vazi la kubadilisha. Hiyo ni dalili moja wapo ya umasikini. Usiwacheke bali wasaidie kupata nguo za ziada.
Wee tutake radhi dela sio umaskini!kwanza tuna madela Hadi 30K...wanalijua Dela la msomali hawaWanavaa dera muda wote kwa maana hana vazi la kubadilisha. Hiyo ni dalili moja wapo ya umasikini. Usiwacheke bali wasaidie kupata nguo za ziada.
sasa gomz na chanika ulienda kufanya nini maana vituo hadi vya huko unavijua 😁😁😁Nikaribia 40, primary Muhimbili, o level st Anthony, Advance Makongo chuo Mlimani,,pata picha sasa,Chocho lipi silijui
Kwani hamisa bado anaishi uswazi??
Hata huko kudanga pia ni dalili ya umasikini. Angekuwa anafanya kazi kama Manager wa BOT angedanga? Alafu kudanga vile vile ni hulka ya mtu na sio ku generalize kwamba masikini wooote wanadanga.Umasikini gani wakati wanamake Kwa kudanga
Maisha ni mafupi mno kuchukulia kila kitu serious chief.Acha kuwafanyia dhihaka waishio kwenye ufukara. Hongera wewe uliyezaliwa Mbezi Beach na Masaki.
Ninaongelea wanaovaa dela moja wiki nzima.Wee tutake radhi dela sio umaskini!kwanza tuna madela Hadi 30K...wanalijua Dela la msomali hawa