Mwanamke wa uswahilini

Tatizo JF wote wanajifanya wa ushuani ila ukiangalia wanavyochambua huko uswahilini unabaki kujiuliza huyu mbona kama yule jirani yangu Beka🀣🀣?
Unataka kuwaharibia watu brand zao 😁😁, wengine tumekua sehemu nyingi kiasi cha kuzijua lifestyles tofauti na hatuvungi 😁
 
Acha kuwafanyia dhihaka waishio kwenye ufukara. Hongera wewe uliyezaliwa Mbezi Beach na Masaki.
 
Tatizo wengi weo humu wanavunga sio wa uswazi wakati wanaoneka wanajua vichochoro vyote vya keko toroli😁
Ila joa igweeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
inaonekana unakata mitaa sana maana umekariri chocho na majina ya vituo kama konda wa daladala 😁😁
 
Hao watakuwa wa kuja uswahili, Iswahilini ni Waislam, hawana ujinga ujinga. Mwanamke wa Kiislam anaefata Uislam wake utampata wapi wewe.

Mnadanganyana tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…