Mwanamke wa uswahilini

Naunga mkono
 
Nimejenga uswahilini na nimehamia.Wanawake wanapenda kuchunguza maisha ya watu.Pia wanapenda kuombaomba hata vitu ambavyo wana uwezo wa kuvinunua.Akiachiwa pesa ya matumizi na mme wake anaibana,ananunua vitu vichache vingine anaomba kwajirani ili apate pesa ya kucheza kibati.
 
Achana na maisha ya watu....Mkienda kijijni na wazazi wako nyie ukoo mzima mnaonekana wa maana sababu tu unaishi au unatoka huko uswazi.

Inshort mnakuwa kama popo hamueleweki. Wakipondwa wa mjini unajiweka mbali,wakisifiwa mnajileta.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechekaa ndugu zangu wote tupo Swazi kwani wazaramo tuna kijiji kingine zaidii ya Dar es Salaam ukiachana na msangaa hukooo
 
Nimechekaaa yaaan mule muleee😄😄😄😄
 

Ni kweli ndugu huyo jamaa hapo anaona Kama tuna dhihakii
 

Mbona umekazana kukejeri watu nani huyo ana kejeri wenzio tumetaja tabia zao hatujawakejeli hata wakileta mada za wanawake wa ushuwani tutatoa tabia zao so be positive
 
Imepita bobu
 
Unaonekana ni mtu muungwana Sana. Uishi milele mkuu[emoji120]
Asante sana mkuu. Mkuu, katika haya maisha hakuna aliyeomba azaliwe katika hali fulani ya ufukara ama utajiri. Ni nature tu ndio inachagua randomly kuwa huyu azaliwe wapi na mtu anapopata ufahamu ndio anatambua kuwa amezaliwa na baba fukara ama tajiri.

Tuwasaidie masikini kadri ya uwezo wetu.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wanaweza kuona mtu anaongea mwenyewe barabarani wakajua amependa ama anaigiza kumbe kuna mazito anayapitia katika maisha yake. Utu uzima ni mzigo wa mwiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…