Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Malezi mabovu ya wazazi na watoto kutokujitambua vinapelekea wawe na tabia za hovyo watoto wa rika langu niliosoma nao karibia wote wameishia la 7 wengine form 2 wengine 4 failure mbona mimi sikuishia hapo hii ni kutokana na wazazi wangu walipambana hawakutaka ujinga na sio suala la kuwa na hela
Naunga mkono
 
Nimejenga uswahilini na nimehamia.Wanawake wanapenda kuchunguza maisha ya watu.Pia wanapenda kuombaomba hata vitu ambavyo wana uwezo wa kuvinunua.Akiachiwa pesa ya matumizi na mme wake anaibana,ananunua vitu vichache vingine anaomba kwajirani ili apate pesa ya kucheza kibati.
 
Achana na maisha ya watu....Mkienda kijijni na wazazi wako nyie ukoo mzima mnaonekana wa maana sababu tu unaishi au unatoka huko uswazi.

Inshort mnakuwa kama popo hamueleweki. Wakipondwa wa mjini unajiweka mbali,wakisifiwa mnajileta.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechekaa ndugu zangu wote tupo Swazi kwani wazaramo tuna kijiji kingine zaidii ya Dar es Salaam ukiachana na msangaa hukooo
 
Wanapenda sana kujipostpost haswa facebook

Na caption zao ni kama hizi

“Tamu yake mume wangu”

“Cha peke ako kaburi”

“Usiseme mume wangu sema mume wetu”

“ malaya wake mume wangu”

“Akinipenda mama inatosha”

“ Mama yake mwanangu

Kiufupi wana caption za hovyooo halafu wanapenda kutumia vifupisho kama xaxa cjui ln 2taonana ,,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaa yaaan mule muleee😄😄😄😄
 
Tabia na maisha ya uswazi ni ya kujitakia. Mbona mikoani huko vijijini watu wanaishi kwenye umaskini kuliko hata Uswazi lakini wakazi wake wana tabia nzuri? Ukitaka kujua wanawake wa Uswazi (siyo wote lakini asilimia kubwa) wana tabia za ajabu basi oa mmoja. Familia yetu ni wahanga wa kuoa Uswazi. Nyingi ya tabia zilizoelezewa hapa ni kweli. Na sasa hivi imeongezeka moja ya kufanya birthday (wenyewe wanaita besidei) na sherehe nyingine nyingi za kuiga wazungu kama babyshower. Ni ulimbukeni kwenda mbele. Vijembe vya zamani vya kwenye kanga siku hizi vimehamia kwenye Facebook na Insta.

Ni kweli ndugu huyo jamaa hapo anaona Kama tuna dhihakii
 
Be thankful wazazi/ukoo wako wameiona dunia mapema na kujiongeza, of course pesa sio kila kitu kwa mtu kujitambua, wako we ye pesa kama majani lkn maisha yao ni ovyo hawajitambui, cha msingi kama umepata nafasi mungu akakufungulia dunia usiwadharau wenzio, haya ni maisha tu hata ujue kila kitu bado hakutokuwa na tofauti yoyote kama binaadamu.

Mbona umekazana kukejeri watu nani huyo ana kejeri wenzio tumetaja tabia zao hatujawakejeli hata wakileta mada za wanawake wa ushuwani tutatoa tabia zao so be positive
 
Wanapenda kuvaa dera bila chupi.

Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.

Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.

Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.

Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.

Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.

Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.

Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.

Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.

Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.
Imepita bobu
 
363351374_170037299423849_162366705601412705_n.jpg
 
Unaonekana ni mtu muungwana Sana. Uishi milele mkuu[emoji120]
Asante sana mkuu. Mkuu, katika haya maisha hakuna aliyeomba azaliwe katika hali fulani ya ufukara ama utajiri. Ni nature tu ndio inachagua randomly kuwa huyu azaliwe wapi na mtu anapopata ufahamu ndio anatambua kuwa amezaliwa na baba fukara ama tajiri.

Tuwasaidie masikini kadri ya uwezo wetu.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Vijana waliozaliwa miaka ya 2000 wanaweza kuona mtu anaongea mwenyewe barabarani wakajua amependa ama anaigiza kumbe kuna mazito anayapitia katika maisha yake. Utu uzima ni mzigo wa mwiba.
 
Back
Top Bottom