Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Kwetu Huku Ni mwendo wa Durah kichwaniWnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu Huku Ni mwendo wa Durah kichwaniWnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent [emoji23][emoji23]
Hii imeenda kweli kabisa[emoji23][emoji23]Wnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent [emoji23][emoji23]
Achaaaa nimetamani hadi sio poa😋🤣Umemeza mate😂😂
Kamata kuku hapo tengeneza chicken legs.. chachandu yako pembeni songa na kaugali kako uinjoi😋😋I miss those things....na ugali wa sembe. Chachandu naiona pale!
Huku mikoani hovyo sana. Nakutana na michembe tu!
Watoe wapi na virutubisho wanavyo😅😅Na watu wana afya nzuri tu. Hawana kisukari wala presha😅😅
Upate za kukaanga na ile chachandu yake na vikachori😋😋Ngwala ni hatari sana🤣
Jamani… sjui niifate kwa mtogole😋😋Au viazi vizimavizima mviringo🙆
Pole mwayaaAchaaaa nimetamani hadi sio poa😋🤣
🤣🤣🤣🤣Imekunogea?Jamani… sjui niifate kwa mtogole😋😋
Siku hizi Kuna mabucha kabisa zinauzwa Kwa kilo😁Kamata kuku hapo tengeneza chicken legs.. chachandu yako pembeni songa na kaugali kako uinjoi😋😋
Mnoooo🤣🤣🤣🤣Imekunogea?
Mpaka supermarkerts kubwa kubwa ipo vizuri tu.. ila ya kupika mwenyewe sio mitam kama ya kunnua mtaani uswahilini huko😋😋Siku hizi Kuna mabucha kabisa zinauzwa Kwa kilo😁
![]()
![]()
nimechekaa ndugu zangu wote tupo Swazi kwani wazaramo tuna kijiji kingine zaidii ya Dar es Salaam ukiachana na msangaa hukooo![]()
Ok... naamini umesoma. Changamoto za ndugu zetu unazielewa. Tubaki nazo vifuani so vizuri kuwapa watu cha kuongea. Wakati huo huo tunatafuta njia ya kuwashawishi wabadilike tusiwalaumu wala kuwasanifu. Historia na nyakati za kiutawala ziliwafanya wakose ulichonacho wewe sasa. Uliweza kuamka mapema. Lakini sababu za historia Sasa hazina mashiko. Tuendelee kuwashika mkono. Ukifanikisha hata mmoja sio mbaya....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechekaa ndugu zangu wote tupo Swazi kwani wazaramo tuna kijiji kingine zaidii ya Dar es Salaam ukiachana na msangaa hukooo
Kuna ladha tofauti sana wa kupika nyumbani na wale wa kwa wauza miguu. ya kuku. Alafu Mimi ugonjwa wangu vimoyo na vikund*. Ukinipa sijui paja na hivyo nakuachia paja. Labda kiwe kidari au firigisiKamata kuku hapo tengeneza chicken legs.. chachandu yako pembeni songa na kaugali kako uinjoi😋😋