Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Naona hii imekuwa staili yao mpya!
emoji1.png
emoji1.png

Wnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent [emoji23][emoji23]

Ndiyo wanavaaje? ebu weka picha ya 50 cent aliyovaa hicho kitambaa.
 
Noma Sana.

Demu wa Uswahilini na wa Ushuani wote akili zao zinafanana wanatofautiana utanashati/personality.

_Huyu atavaa wigi la afutatu huyu atavaa Brazilian air
-Huyu atavaa dera huyu atavaa LV
-Huyu atapaka mkorogo wa afusaba huyu wa laki 5
-Huyu atatumiwa afusita ya nauli huyu atafatwa na gari au atalipiwa Uber.
-Huyu atagongewa guest za afumbili huyu atagongewa hotelini
na wote wakipata ukimwi ni ule ule hakuna cha mimi niliupatia hoteli za nyota tano sijui guest za afu tatu
 
1. Hawajui kuigiza wala kuendana na drama za world class life za tiktok, akipenda safari atakunywa na ukimuagizia chakula, hawavungi kukimaliza na kufunga, ukitaka kuona wanawake halisi, nenda uswazi 😁

2. Ni wanawake wavumilivu na wastahimilivu maana wao huamini katika ridhki ndio maana wanaolewa hata na mwanaume anaemiliki chumba kimoja.. Labda uwe mdhembe wa kutafuta ndio utaachwa

3. Wanajua kupika na wana haiba ya kike.. Watoto wa uswazi wanakuzwa kwa ajili ya ndoa kama fanikio na jukumu la kwanza hivyo, wengi huelewa mwanaume anahitaji nini zaidi, kwa maneno na vitendo

4. Hawana choyo na wana utu sanaaaa, yaani kwenye mambo kama msiba hakuna sehemu watu hufarijiwa kwa asilimia zote kama uswazi. Vitu kama sufuria, viti, wapishi na wahudumu sio kitu cha kusababisha stress sababu mashoga na majirani zake watamaliza kazi

5. Ni wanawake wapiganaji, ukisikia kina diamond, ommy dimpoz na wengine wakitoa shuhuda za mama zao kuwapigania, bhasi ujue ni waswazi. Wapo tayari kufanya lolote pale inapoonekana njia kwa familia na watoto wao, ukitaka zile total sacrifice for love, utaikuta kwa wanawake wa uswazi
 
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua mama, bibi, shangazi nk

Ongezea mengine kama yapo
Vazi lao kuu ni madera hasa wakiwa nyumbani
 
1. Hawajui kuigiza wala kuendana na drama za world class life za tiktok, akipenda safari atakunywa na ukimuagizia chakula, hawavungi kukimaliza na kufunga, ukitaka kuona wanawake halisi, nenda uswazi [emoji16]

2. Ni wanawake wavumilivu na wastahimilivu maana wao huamini katika ridhki ndio maana wanaolewa hata na mwanaume anaemiliki chumba kimoja.. Labda uwe mdhembe wa kutafuta ndio utaachwa

3. Wanajua kupika na wana haiba ya kike.. Watoto wa uswazi wanakuzwa kwa ajili ya ndoa kama fanikio na jukumu la kwanza hivyo, wengi huelewa mwanaume anahitaji nini zaidi, kwa maneno na vitendo

4. Hawana choyo na wana utu sanaaaa, yaani kwenye mambo kama msiba hakuna sehemu watu hufarijiwa kwa asilimia zote kama uswazi. Vitu kama sufuria, viti, wapishi na wahudumu sio kitu cha kusababisha stress sababu mashoga na majirani zake watamaliza kazi

5. Ni wanawake wapiganaji, ukisikia kina diamond, ommy dimpoz na wengine wakitoa shuhuda za mama zao kuwapigania, bhasi ujue ni waswazi. Wapo tayari kufanya lolote pale inapoonekana njia kwa familia na watoto wao, ukitaka zile total sacrifice for love, utaikuta kwa wanawake wa uswazi
Kwa ufupi ni wife material[emoji182][emoji182][emoji182][emoji120][emoji817]
 
Back
Top Bottom