Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo number 4 uko sahihi sana, nimeona wengi wamelink wadada wa uswahili na uchafu kitu ambacho si Cha Kweli,hakuna wadada wasafi kama wa uswahili,wanajua kusafisha nyapu zao Hadi Kwa utambi wa kibatari ,kutumia limao,nk.jambo ambalo ni risky hata Kwa afya zao,am sure mtoto wa ushuani hajui chochote kuhusu hizo technique.wanajipulizia udi wao na chumba Chao kimoja kimepangwa mpaka utashangaa,yaani wenyewe suala la ngono ni kipaumbele na linakwenda sambamba na usafi......hao wachafu ni wa kienyeji sio wa uswahilini1. Ni wazuri wa asili ukiona mbaya katika mkoani kajichanganya
2.Wanaishi maisha yasiyo ya maiagizo
3 . Wanajua kutunza Siri za ndani
4. Ni Wasafi wa mwili ukiona mchafu basi ni WA kienyeji sio wa uswazi
6. Wqnapenda kuvaa Madera na nguo zenye stahak
7.Wanaheshimu waume zao.
KISARAWE KWA JUUUkishapita Gongo la Mboto, Kisarawe kuelekea Msanga
Mwanamke unakosaje Dela aseeee hasa vijora?acheni zenu za Uzungu hizo......mi Nina vijora vikali kumi😁😁😁😁Tatizo sivaagi madela😃😃😃,, ila vyote vinavyosemwa naviona 🤣🤣🤣
Tatizo JF wote wanajifanya wa ushuani ila ukiangalia wanavyochambua huko uswahilini unabaki kujiuliza huyu mbona kama yule jirani yangu Beka🤣🤣?Nilichogundua wanaume wa humu ni WA uswahilini watupu😅😅😅
Nimegain something funny kwako....kigoma cha uruguay....😁😁😁Hicho hatari sana,hapa Kuna habiba pale Kuna semeni wee ni BALAAA🤣🤣
Upo mtaa gani man...Kwa wanaume mafisi Wala mizoga karibuni uswazi utachoka mwenyewe
Uko sahihi sana,matusi kwao kawaida sana wana midomo michafu balaaa maneno makali tu.Nilipata mmoja wapo jmn nikajidanganya kufall in love na yeye, nimekula mara 4 mara ya 5 akanipa Gono kmmK, nilimwambia ukweli kuwa cjakutana na m/mke mwngn yyte kimwili tng nianze kuwa nae akawa anajiumauma nikamjibu tu ujatulia mpuuzi wew mara.
Kiukweli kubajeti pesa hawajui, Ni Wana midomo michafu matusi kwao km salamu, kauli mbovu, Wana viburi ingali maisha yao Ni duni balaa, imani za kishirikina kwao Ni tamaduni,
Ila kitandani jmn wale viumbe Ni nyoko balaa, kwa hili tu ndio nawapongeza na kuwapa nyota zao 5...[emoji23] Ni mafundi sio mchzo
Wenzio wanakwambia kama umechoka tuachie sie😃Tukiachwa tunaachika, ndoa sio vita ukimuona wanini wenzio wanajiuliza watampata lini.......
Kile kigoma ni balaa😁😁😁Jamaa angu mmoja alipata laki 6 tu ikaenda kwenye shughuli kigoma cha uruguay kilihusika 😁😁😁
Oyoooo piga kelele 😁😁😁Kile kigoma ni balaa😁😁😁
bongo dili anakuambia mwaju anaachwa chumba kimoja anaolewa chumba cha jirani na kigoma kama kawa na wana wanaufinya ubweche 😁😁😁Wenzio wanakwambia kama umechoka tuachie sie😃
Huko mzunguko mwambie akatishe Chanika,Mwanzo mgumu,Homboza huyoo Masaki😁Ukishapita Gongo la Mboto, Kisarawe kuelekea Msanga
Source of income lazima ipigwe msasa vemaHiyo number 4 uko sahihi sana, nimeona wengi wamelink wadada wa uswahili na uchafu kitu ambacho si Cha Kweli,hakuna wadada wasafi kama wa uswahili,wanajua kusafisha nyapu zao Hadi Kwa utambi wa kibatari ,kutumia limao,nk.jambo ambalo ni risky hata Kwa afya zao,am sure mtoto wa ushuani hajui chochote kuhusu hizo technique.wanajipulizia udi wao na chumba Chao kimoja kimepangwa mpaka utashangaa,yaani wenyewe suala la ngono ni kipaumbele na linakwenda sambamba na usafi......hao wachafu ni wa kienyeji sio wa uswahilini
Haina shida,na ex anakuwa shemeji 😃bongo dili anakuambia mwaju anaachwa chumba kimoja anaolewa chumba cha jirani na kigoma kama kawa na wana wanaufinya ubweche 😁😁😁
🤣🤣Oyoooo piga kelele 😁😁😁
🤷Uzaa panyaroad na vibaka
Kama kawaida yaani.....yaani wenyewe Kuna mashangazi zao hao wanayaita somo yanawafundisha mbinu za kuzagamuana na usafiSource of income lazima ipigwe msasa vema
Mbona unawajua sana,una uhakika we sio majirani zako?😁😁Wanapenda sana kujipostpost haswa facebook
Na caption zao ni kama hizi
“Tamu yake mume wangu”
“Cha peke ako kaburi”
“Usiseme mume wangu sema mume wetu”
“ malaya wake mume wangu”
“Akinipenda mama inatosha”
“
“ Mama yake mwanangu
Kiufupi wana caption za hovyooo halafu wanapenda kutumia vifupisho kama xaxa cjui ln 2taonana ,,
[emoji23][emoji23][emoji23]