Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

La saba kushuka chini kama ni o level basi ya hali mbaya.
Siku hizi suala la elimu limepanuka sana hizo unazoongelea wewe ni zama za nyuma,ambazo wazazi wengi walikuwa wanapeleka watoto madrasa wakasome ilmu akhera na sio shule ilmu dunia,ila kizazi Cha Sasa uswahilini wanasoma vizuri tu,shule za kata zimejaa watoto mpaka hawana pa kukaa,kwani huko vyuoni hamkutani na kina Habiba?
 
1) Mwanamke kujipamba.
2) Bajeti si ufanye wewe mtafutaji, laki nayo umeiona pesa ya maana siku hizi?
3) Unataka siri si uhame Uswahilini, nyumba yenyewe wapangaji kibao.
4)Khaa, kwani nyumba ya geti hamna majirazni?
5) Hayo siyo Uswahilini, hukohuko kwenu. Uswahilini hatuna "mahusiano" ama unaoa ama unasepa.

Bila "waswahili" ungejuwa Kiswahili wewe? tupishe huko.

Halafu mtu kama huyo anasema "mimi msomi".

Punguani wahed.

Sauti inatooooooosha bibi

Ahsanteeeeeeeeee!!! Watuache kwanza wenyewe tuko na amani na life letu la kuunga unga hatuhitaji stress kabisaa [emoji2222][emoji2222]
 
Nyie kina mwali vipi vijora mnavyo? Cute Wife cocastic au ndio mnapambana na jeans zenu?

Vijora tunavaa na jeans tunapigilia, uzuri wetu watoto wa uswazi hakuna nguo inatukataa!!!

Tukiamua tunakua Mwajuma nichokonoe na tukitaka tunakuwa Nick Minaj yaani hakuna tunachoshindwa

Afu humu wote wa uswazi tofauti mitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom