Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Wanatoa Tigo hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I miss those things....na ugali wa sembe. Chachandu naiona pale!
Sawasawa 😊🤗Mwanamke kijora babu,,Tafuta chenye rangi za kuvutiaa,,uko zako home unapikapika mashemeji zako wamekuja umeoga umejisitri, ukiingia room na Mzee dkk sifuri kijora kimeshavulika acheni kujibanabana na hizo jeans😁😁
Daah uswzi mna mambo nyie.Zari hakuamini,alisema ",I swear,over mydead body my man can't date a cheap woman from uswahilini"wee role model alichomfanya ni mimba na video juuu🤣
Na watu wana afya nzuri tu. Hawana kisukari wala presha😅😅
Dela bila chupi inaitwa Dela chukuchuku😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23] umbeaaaaaaa haki ya nani ni wambea halafu umbea wa uongo unaweza kuzushiwa jambo mpk ukaogopaa…
Yaani mimi mtaani kwetu sina rafiki ukiona nimetoka ni dukani na kusalimiana kawaida naogopa hata kujichanganya nisije zushiwa jambo
Ila napenda sana sherehe zao huwa naenda mpk kuangalia wanavyochezacheza na madela yao wanatingisha tako moja moja wengine hawajavaa chupi wengine wanapandisha dera wanaonyesha chupi [emoji1787]
Ukija mjini fikia uswahili uone kama utahama😥najua wapi mi wa mikoani nawaonaga kwenye tv😂 mnajua kulimwaga kwenye singeli
Tayari Kwa mechi.Muda wote kiwanja hakina nyasi
ugali wa sembe utadinda kweli??😅I miss those things....na ugali wa sembe. Chachandu naiona pale!
Huku mikoani hovyo sana. Nakutana na michembe tu!
Kahama juzijuzi tu hapa.Kwani hamisa bado anaishi uswazi??
Tatizo watu wa mikoani mapenzi mnaonaga kama vita vile🤣🤣🤣🤣Hawa wenzenu wa mjini wanajua Nini kifanyikeugali wa sembe utadinda kweli??😅
mambo ya kupiga deki jau bana😅Tatizo watu wa mikoani mapenzi mnaonaga kama vita vile🤣🤣🤣🤣Hawa wenzenu wa mjini wanajua Nini kifanyike
Wanavaa duragsNdiyo wanavaaje? ebu weka picha ya 50 cent aliyovaa hicho kitambaa.
mnaokaa ushuani, mwakosa vingii sanaa, mtabaki ona kwa TV na kusikia radioni ama kusoma kwa JF
Jamani, nisamehe dada!Nywele zangu pendwa twende kilioni,