Mwanamke wa uswahilini

Mwanamke wa uswahilini

Uzuri nimelelewa na mama angu Baba yangu akitangulia nikiwa na umri wa miaka 8 so nimepambaniwa na mama yangu na nashukuru bi mkubwa hapendi ujinga
Hongera sana kwa mama yako. All in all, tuwasaidie wenzetu wenye uhitaji kadri ya uwezo wetu.
 
Wanakurupuka asubuhi kwenda dukani huku miswaki ikiwa mdomoni povu likiwa limetapakaa mdomoni, wakiwa wamevaa kanga moja na kujifunga taulo
 
Huu uzi na ule wa kina junior toto tundu sijui upi unaongoza kwa kuumiza mbavu..😁
 
Mbona umekazana kukejeri watu nani huyo ana kejeri wenzio tumetaja tabia zao hatujawakejeli hata wakileta mada za wanawake wa ushuwani tutatoa tabia zao so be positive
+++++++++[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Wanatusitiri saana, hawana vibomu vikubwa, ukimnunulia kijora cha shughuli umekula.
Tunawala saana kwa marejesho ya halichachi, kausha damu.
Guest ya elfu 5 tu na chips kavu umekula mzigo, tena wakati mwingine hyo hyo buku 5 ukimpelekea kwake unakula mzigo kibosi tu, na maji ya kuoga unachemshiwa.
Hapo ndipo wajuba tunapogoma kuoa, maziwa napata, nyama napata, ya nini kufuga ng'ombe[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake wa uswazi oyeeee..[emoji1787][emoji1787]
[emoji23]
 
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo

1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija.
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu.
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua; mama, bibi, shangazi, nk.
6. Wanapenda mikopo kausha damu, huku hawana biashara yoyote.
7. Yupo radhi auze kitu chochote ili atoe mchango wa shughuli.

Ongezea mengine kama yapo.
Hawajui kujishusha. Ukidate naye kama mchipuko atataka ampindue wife kutoka kwenye nafasi yake na ikibidi hata kumroga ili abaki peke yake. Wapuuzi sana hawa wanawake.
 
Back
Top Bottom