Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Nitajie mwanamke wa uzunguni mwenye mwanaume mmoja na mimi nikuonyeshe bikra ambae kaenda leba kujifungua.Hawawezi kutulia na mwanaume mmoja.
Ni vicheche balaa 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie mwanamke wa uzunguni mwenye mwanaume mmoja na mimi nikuonyeshe bikra ambae kaenda leba kujifungua.Hawawezi kutulia na mwanaume mmoja.
Ni vicheche balaa 😄
Chai a1. Hawajui kuigiza wala kuendana na drama za world class life za tiktok, akipenda safari atakunywa na ukimuagizia chakula, hawavungi kukimaliza na kufunga, ukitaka kuona wanawake halisi, nenda uswazi 😁
2. Ni wanawake wavumilivu na wastahimilivu maana wao huamini katika ridhki ndio maana wanaolewa hata na mwanaume anaemiliki chumba kimoja.. Labda uwe mdhembe wa kutafuta ndio utaachwa
3. Wanajua kupika na wana haiba ya kike.. Watoto wa uswazi wanakuzwa kwa ajili ya ndoa kama fanikio na jukumu la kwanza hivyo, wengi huelewa mwanaume anahitaji nini zaidi, kwa maneno na vitendo
4. Hawana choyo na wana utu sanaaaa, yaani kwenye mambo kama msiba hakuna sehemu watu hufarijiwa kwa asilimia zote kama uswazi. Vitu kama sufuria, viti, wapishi na wahudumu sio kitu cha kusababisha stress sababu mashoga na majirani zake watamaliza kazi
5. Ni wanawake wapiganaji, ukisikia kina diamond, ommy dimpoz na wengine wakitoa shuhuda za mama zao kuwapigania, bhasi ujue ni waswazi. Wapo tayari kufanya lolote pale inapoonekana njia kwa familia na watoto wao, ukitaka zile total sacrifice for love, utaikuta kwa wanawake wa uswazi
Kataa ndoa oyeeKweli kuna mmoja akiwa bar anamuaga bwanake anaenda chooni mara moja, anajificha mahali anapandisha dela wana wanapiga miti anarudi mezani kwa bwanake kula bia.
Hata hufananiiHalo halooooooh
Kazi ipoMwananyamala pia
Sawa sirudii tenaHata hufananii
🤗🤗😽Sawa sirudii tena
😊😊
Sio woteWengi wao ni pisi balaaaa
ELEWA WENGI WAOOOOOSio wote
Yaani nikiona binti kavaa hivo viatu hata salamu yangu hapatiWanapenda kuvaa viatu vya manyoya
Nipo kusini huku mkoa wa Lindi wamejaaWakicheka utawasikia "haloooo"........😁😁😁 kwa sauti ya juu sana........
Wakivaa Dela wanalibania na chupi😇😇😇
Wanapenda kupigwa mjebele kati ya saa 3 usubuhi na kabla ya saa 7......cha fasta......👥👥
Pole sana Leejay49. Leo wamewazukia vibaya😃😃mnatusema sana, sijapenda🌚
Uliwahi kupewa!?Wanatoa tigo
Hao ni mafundi machine zao kama zina ka mkono kwa ndaniNipo kusini huku mkoa wa Lindi wamejaa