Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Sio tatizo kumpenda maana inaonyesha ni seriously alikua ni mtu sahihi. Imagine nimepata mafanikio na bado nakumbuka kuja kukusalimia, ingekua miki ningemgonga na gari..ningelatafuta na kale ka ist nako naka gonga.
Dah 🤣🤣🤣 Ni kweli nilimpenda! Lakini unapaswa kuelewa Unaweza ukawa mtu sahihi kwa mtu lakini yeye asiwe sahihi kwako
 
Sio tatizo kumpenda maana inaonyesha ni seriously alikua ni mtu sahihi. Imagine nimepata mafanikio na bado nakumbuka kuja kukusalimia, ingekua miki ningemgonga na gari..ningelatafuta na kale ka ist nako naka gonga.
Huwa niki Sena we ni mkimbizi?!, Una semaga naku onea?!.
👉Hiyoo roho yako ni ya kigeni kabisa😆🤔
 
We jamaa nae bana..

Kama mtu alishakuacha, huo mda wa kuhangaika kwenda kumtafuta ili umuonyeshe magari uliyo nayo unaupata wapi? Dont u hav a life? Huna mambo ya maana ya kufanya? Huja move on?

Ina maana tangu uachane nae mwaka 2018 mpaka leo miaka karibu 7 we bado unamuwaza yeye tuu? Huna wanawake wengine wakuku keep busy?
 
Kuachana na mtu haiimanishi huwezi mjulia hali, au mpaka usikie kafa ukahudhurie Msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…