Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

ili kumuumiza zaidi mpe gari moja halafu alete za kukutaka ndo umpige chini jumla na gari unamuachia,. hakika ukifanya hivyo atajua gari sio kitu when it comes to love.
 
BMW X5 new model au ndo zile za 2007
Na iyo crown ndo zle za 2006

Punguza zalau kila kitu kinamuda wake kipind kile na situation mlokua nayo ilikua ni haki yake kufanya ivyo

Na ww inaonesha bado unampenda km bado unapita kumuonesha unamiliki magar
 
Km kuna mwanamke anapaparika na gari basi tuna safari ndefu aiseee!!
N’wei lkn kakusaidia kujitafuta mpk umejipata..!! Sema ulivyo mjinga bado unampenda, hiyo kwenda kumtambia ndinga zako ni vile bado hujiamini.
Kingine naona km huna hizo gari ila umeamua kujifariji kutudanganya..!!!🤔🤔🤔
 
hua napita kumsalimiaanapofanyia kazi kuonesha kua wakati wa Mungu ni sahihi zaidi.

Tujifunze kuheshimu watu, Maana hatujui nani atakuja kuwa mlango wa Mafanikio Yetu
Kitendo cha wewe kwenda kumsalimia ili kuonyesha kua sasahivi una Gari,kinathibitisha kua bado unaumia kwa kuachwa na huyo mwanamke,hukua na haja ya kutaka kumuonyesha,wewe ungeendelea tu na maisha yako nae ukamuacha aendelee kivyake.
 
Back
Top Bottom