Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

Piga Chini Mazima huyo mwanamke mkuu,
MAANA Kuna siku unaweza kua kwenye WHEELCHAIR akakukimbia Tena..
 
kumbe aina..??
Sawa mnafki mkuu...
Eeeh! aina kwa maana kila mwenye nacho utamani kilicho juu zaidi ya alicho nacho, kw maana mataifa yaloendelea gari ambazo zinawapa mchecheto huku 90.999% ya raia wanazo so akikutana na mwanaume mwenye chuma kali lazima apapatike we nani huku ka IST kasikubabaishe?
 
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala...
Wanaojitambua ndo watabaki kwenye msimamo na mstari ulionyooka. (WASIO NA TAMAA).
 
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke kisha namsindikiza kwao kwa daladala...
You are such a sweet guy yani kitendo cha kumsubiri masaa 4 atoke class umsindikize nyumbani ni upendo wa ajabu. Ni vile tu wadada huwa na tamaa lakini kama amejirekebisha msamehe maana inaonyesha unampenda sana.
 
Kwanini huwa mnawapenda wanawake?rule no 1,dont give them attention,they will pay for your attention.(sjui mnataka muambiwe mara ngapi)
 
Kuachana na mtu haiimanishi huwezi mjulia hali, au mpaka usikie kafa ukahudhurie Msiba
Acha ujinga kijana...umjulie hali kwani amekuwa mama yako huyo.?

huoni anakuona punguani na kukukebehi tena?, lazima uonyeshe kwamba unaweza kuishi bila yeye.
 
hivi ni kweli kuna watu wanapaparikia mwanaume kisa 'gari'..??
smdh..!!
Mtoa mada na mwanamke wote ni watoto,maana mwanamke anapapatikia mwanaume mwenye gari, na huyu mtoa mada anaamini gari ni mafanikio
 
Kwanini bado unaendelea kumtembelea kazi kwake ina maana na wewe bado unampenda..anakutesa bado na wewe unahangaika kumuumiza moyo
 
Aaaah bro, hueshimiwe wakati huna kitu? Huyo mwanamke atakula mawe?
Mwanamke anataka nguo, unyunyu, chakula kizuri, sehemu ya kulala poa, pesa, future iwe inaeleweka, sasa gari huna, nyumba huna, hata kumpeleka kula bata huwezi!
Usimlaumu! Hakuna aliyeumbwa kuja kuteseka duniani
 
Gar haina bluetooth, gar haina Sehemu ya USB gar haisaport android wala ios af unajiita unagari

Gar ad ununua kale kadude kakuchomeka USB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake ndo wanaongoza kuwa na roho mbaya
 
WADAU MBONA MNATUDISS NA CROWN ZETU ATHLETIC,S NA BMW TOLEO LA 2006...🤣🤣🤣🤣🤣 HATUNA UWEZO WA KUNUNUA V8.
MWANA ANADISS ETI BABY WALKER 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…