Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.

Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake

Screenshot_20250111-183445_1.jpg
 
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine. Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
Wanaume kajamba nani kwa kupenda kulalamika hamjambo 🙌🙌
 
View attachment 3198839
Mbona huo mwandiko ni wa Mwanaume?
 
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine. Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake

View attachment 3198839
Na wewe muoroodheshee mahitaji yako
 
Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Ana subiri kuwa single maza huyo, mpe miaka mitatu tu utakutafuta tena.

Kazi ya nauli 4500 ni kazi gani hiyo? Kwa hiyo haimlipi hata nauli?

Hapo wewe unapanda Daladala ila yeye anataka kwenda na Boda boda au bajaji😅😅😅
 
Wanaume kajamba nani kwa kupenda kulalamika hamjambo 🙌🙌
Kajamba nani unamaanisha maskini? Lugha ya zamani sana hiyo mkuu. 😀😀😀😀Hawa kataa ndoa wengi ni masikini na wanajitafuta.

Mbona pesa ndogo sana. Mwambie atupe namba yake huyo dada inbox tumsaidie hizo pesa ndogo ndogo anazohitaji huyo demu
 
Back
Top Bottom