Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

 
Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Unafurahisha baraza tu we huna hata afkumi ya kumpa bidada
 
Kaombwa pesa ndogo amekuja kuanzisha uzi jf angeombwa mamilioni si angeenda bbc na cnn 😂
 
Mwambie aache kazi kama anafanya kazi ambayo haiwezi kumpa mshahara unaoweza kumfanya apate nauli boraa aache
 
Huyo siyo mwanamke bali ni mnyonya damu au chuma ulete.
Huko kazini kwake hawalipwe mishahara hadi wewe ndiye uwe unamlipia nauli? Hiyo biashara yake ina faida gani kama akutaka kuagiza mzigo China anaanza kuwachangisheni mnao mgonga? Huyo mwanamke ni duka
 
Hawa wa hivi huwa mnawatoa wapi?😂😂😂😂
 
Mkuu
Mkuu hili haupo peke akoo kaka na mimi nimekimbia mbio aisee yaani mtu anakuachia mizigo yote kila kitu na anapenda vizur na hana ya kutosha aisee
 
Mwanamke anayeombaomba hela hovyohovyo ni mpuuzi na apuuzwe. Unamgeuza mwanaume ATM hela atatoa wapi kwa usawa huu? hata wanaume nao hutaka msaada kusaidiwa na wake zao. kwa mtindo huu watakimbiwa sana
 
Msaidie sista yetu, ndiyo tunamtegemea sisi wadogo zake.




Yanga mpe goal mbili weka nyumba
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…