Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa budget ya mwaka.Wao wamekaa tu wanasema wanategemea mbususu waishi town.Sasa huyo na muuzaji wanautofaut gan.Kabisa bora ukanunue mbususu hapo laki tano hiyo budget ya mwaka mzima wa kula mbususu.
Hawa wanawake wanaleta utani kazi kusema tafuta hela wee mwanaume lakini wao kuzitafuta wanashindwa
Atakutana nao mbna atakimbia speed 120 kwenye corner.Wapo humu humu mjini kwani wewe unaishi wapi mkuu
Amini mkuuKataa ndoa wamekuja na mbinu mpya,wanakwambia katika sheria namba kumi na tano ya KATAA NDOA,,,,,,,, Mwanaume ukiona unataka kuachana na Mwanamke wako,Anza kumuomba Hela,atajikataa mwenyewe
Simami hiyo kanuni,mtaachana siku mbili
Hawana utofauti mkuuKabisa budget ya mwaka.Wao wamekaa tu wanasema wanategemea mbususu waishi town.Sasa huyo na muuzaji wanautofaut gan.
Kwanini umetoa pesa kizembe hivyo mwenetu!?, anyway sema kwavile umebanjua mara mbili ngoja tusiku mind Mkuu.Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Sote tutaoa malaya ombea tuu mkeo asiwe famous malayaKabisa budget ya mwaka.Wao wamekaa tu wanasema wanategemea mbususu waishi town.Sasa huyo na muuzaji wanautofaut gan.
Maneno kuntu, ila ndo ukweliSote tutaoa malaya ombea tuu mkeo asiwe famous malaya
Acha upareee mhudumieKataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.
Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
Hata wewe unahongwa tu. Maskini wahead wewe. 😀😀😀We nae kolo tu acha kufanya mwanaume mwenzako ajihisi useless kwahiyo unaona wewe ndo unapesa za kuhongahonga hovyo, kuhonga Kila siku au sio na kwaakili yako unazani ataishia hapo, Labda Kama pesa zako haramu sio za mtafutaji wa kawaida .
Umejuaje mkuu. Nitoe hata 10,000 michakato ikikaa sawa nakurudishia mkuu. 😀😀😀Hapo ulipo ukute hata ya kula huna
Hao ndio timu kataa ndoa mkuu. Angemwambia tu sina kwa sasa ila mambo yakikaa sawa nitakupatia.Kaombwa pesa ndogo amekuja kuanzisha uzi jf angeombwa mamilioni si angeenda bbc na cnn 😂
Nani amekwambia sote tutaoa?Sote tutaoa malaya ombea tuu mkeo asiwe famous malaya
Pangu pakavu ---------------------Umejuaje mkuu. Nitoe hata 10,000 michakato ikikaa sawa nakurudishia mkuu. 😀😀😀
Hiyo nauli tu kwa mwezi ni kama 150k bado hivo vitu vingine aisee sina uchumi huo nowSasa hizo pads, mafuta na mtandio ni vya kukimbia kweli 😆😆😆😆😆😆😆 vyote hapo ni kama 45 tu, Vinauli ukimuongeza hapo 60 na sio lazima umpe yote . Hiyo nyingine kasema ukipata 😝😝😝😃😃 Acha uoga baki na mpenzi wako buana. Ukose kitu kizuri kisa mafuta, mtandio 😀
Hili nalo neno atiii.Nani amekwambia sote tutaoa?
Wengine humu ni kataa ndoa mzee!!!!!
Huyo hutakiwi kumuacha hivihivi, andaa mtoko mahali mle na kunywa na hata ikibidi mchukue na room kabisa kisha muachie msala wa bili alipe mweyeweMkuu uwez amini huyo mtoto juzi nilikuwa nae nikampa 30k akasuka halafu wakati wa kuondoka nikampa 50k nikajua itamsogeza leo tu tayari napewa bili nyingine na hapo bado anataka nimlipie kodi. So mtu wa hivi hata umfanyie nini atosheki bora kukimbia tu
Sasa huyo mwanaume anaependwa na huyo mdada ombaomba, si amuoe huyo mdada, huyo omba omba afanye mambo aolewe na huyo mwanaume.Huyo hakupendi, sio mwanamke wako sababu ana mwanaume wake anayempenda sana na sio wewe