Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

Kataa ndoa wamekuja na mbinu mpya,wanakwambia katika sheria namba kumi na tano ya KATAA NDOA,,,,,,,, Mwanaume ukiona unataka kuachana na Mwanamke wako,Anza kumuomba Hela,atajikataa mwenyewe
Simami hiyo kanuni,mtaachana siku mbili
 
Kabisa bora ukanunue mbususu hapo laki tano hiyo budget ya mwaka mzima wa kula mbususu.
Hawa wanawake wanaleta utani kazi kusema tafuta hela wee mwanaume lakini wao kuzitafuta wanashindwa
Kabisa budget ya mwaka.Wao wamekaa tu wanasema wanategemea mbususu waishi town.Sasa huyo na muuzaji wanautofaut gan.
 
Kataa ndoa wamekuja na mbinu mpya,wanakwambia katika sheria namba kumi na tano ya KATAA NDOA,,,,,,,, Mwanaume ukiona unataka kuachana na Mwanamke wako,Anza kumuomba Hela,atajikataa mwenyewe
Simami hiyo kanuni,mtaachana siku mbili
Amini mkuu
 
Sasa hizo pads, mafuta na mtandio ni vya kukimbia kweli 😆😆😆😆😆😆😆 vyote hapo ni kama 45 tu, Vinauli ukimuongeza hapo 60 na sio lazima umpe yote . Hiyo nyingine kasema ukipata 😝😝😝😃😃 Acha uoga baki na mpenzi wako buana. Ukose kitu kizuri kisa mafuta, mtandio 😀
 
Wewe unaona alichokifanya mwenzako ni sahihi mtu kazi anayo bado anataka anitegemee jwa kila kila kitu na juzi jumanne nimempa 80k ya kusuka na mambo mengine madogo madogo lakini leo tena tayari bili mpya
Kwanini umetoa pesa kizembe hivyo mwenetu!?, anyway sema kwavile umebanjua mara mbili ngoja tusiku mind Mkuu.
 
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine.

Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake

Acha upareee mhudumie
 
We nae kolo tu acha kufanya mwanaume mwenzako ajihisi useless kwahiyo unaona wewe ndo unapesa za kuhongahonga hovyo, kuhonga Kila siku au sio na kwaakili yako unazani ataishia hapo, Labda Kama pesa zako haramu sio za mtafutaji wa kawaida .
Hata wewe unahongwa tu. Maskini wahead wewe. 😀😀😀
 
Sasa hizo pads, mafuta na mtandio ni vya kukimbia kweli 😆😆😆😆😆😆😆 vyote hapo ni kama 45 tu, Vinauli ukimuongeza hapo 60 na sio lazima umpe yote . Hiyo nyingine kasema ukipata 😝😝😝😃😃 Acha uoga baki na mpenzi wako buana. Ukose kitu kizuri kisa mafuta, mtandio 😀
Hiyo nauli tu kwa mwezi ni kama 150k bado hivo vitu vingine aisee sina uchumi huo now
 
Mkuu uwez amini huyo mtoto juzi nilikuwa nae nikampa 30k akasuka halafu wakati wa kuondoka nikampa 50k nikajua itamsogeza leo tu tayari napewa bili nyingine na hapo bado anataka nimlipie kodi. So mtu wa hivi hata umfanyie nini atosheki bora kukimbia tu
Huyo hutakiwi kumuacha hivihivi, andaa mtoko mahali mle na kunywa na hata ikibidi mchukue na room kabisa kisha muachie msala wa bili alipe mweyewe
 
Huyo hakupendi, sio mwanamke wako sababu ana mwanaume wake anayempenda sana na sio wewe
Sasa huyo mwanaume anaependwa na huyo mdada ombaomba, si amuoe huyo mdada, huyo omba omba afanye mambo aolewe na huyo mwanaume.

Mara nyingi wadada omba omba wanakuaga hawana mahusiano ambayo ni serious k.v ndoa au uchumba, ukiwauliza relationship status Yao watakuambia wapo single, sababu eti hawajapata mwanaume mwenye upendo wa kweli 😁, wakati wao wenyewe huo upendo wa kweli kwa mtu hawana, pia wadada omba omba wengi ukiwachunguza wanakuaga ni a product of previous failed relationships k.v single mothers, waliachwa etc

Mwingine ni omba omba wakati hujamtongoza wala hujawahi omba namba yake ni ile tu ukaribu, mwingine ni omba omba na kwenye maongezi yake unaona anategemea umuoe/aolewe, mm naonaga wananichora tu, napunguza ukaribu nao tu bila kuwaambia sababu, ila wana akili naona wanahisigi huyu jamaa kilichomtimua ni kuombwa ombwa ephen_ Melancholic
 
Back
Top Bottom