Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Rubii longtime sijakuona huku...mekumic[emoji3059]Wote mnaujinga mixer kautoto, hekima 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubii longtime sijakuona huku...mekumic[emoji3059]Wote mnaujinga mixer kautoto, hekima 0
Kwanza pole mkuu, pili hongera haukufanya tukio baya kama kupiga au hata kuua.Aiseee mwanamke unaweza kukaa bar na mpenzi wako huku ukiwa na wadogo zako wa kike
imepigwa nyimbo unanyanyuka unamuacha mpenzi wako kakaaa, mnaanza kucheza mziki na mdogo wako then anatokea mwanaume mnaanza kucheza, inafikia hatua kwenye uchezaji mnaanza kushikana viuno mbele ya mpenzi wako, eeety kwamba shemeji yake kwa mdogo wake mwingine.
Mim ndio kilichonitokea jana nikakasirika nikanuna mno, nikaamua niondoke ile naingia kwenye gari mdogo wake akanifuata akanisihi sana niludi nikakae nae
lakin mimi tayar nishakuwa na kinyongo ukizingatia mitungi niliyokunywa basi bana kukaa kwenye kiti na mdogo wake tukawa tunaendelea mara akaja, iseee nilikuwa nimejitegeza tuuh ashoboke
nilimtukana matusi mengi mazito mazito mbele ya mdogo wake nikamfukuza sitaki kukaa nae kanuna kaondoka, basi nikakaa na ndugu yake mpaka baa inafungwa nayeye akaondoka.
Mm nikampa lift mhudum mmoja mpaka anapoishi [emoji39]...
Jeee ndugu zangu kitendo kilichofanywa mbele yangu ingekuwa wewe ungefanya nini ?
mimi kumtukana jeeeh nimekosea sana ?
Maana mpaka asubuh hii hasira imenijaa sana sitaki hata kumuona na ile sehemu najulikana sana nahisi kanitia aibu naonekana mjinga anyway kanizidi miaka 7 huyo dem
Tayari nimemaliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkubwa punguza jazba....Mshaanza kumisiana kwenye mada za watu
nimekuelewa natafakaliKwanza pole mkuu, pili hongera haukufanya tukio baya kama kupiga au hata kuua.
Ninaona shida kwa huyo mpenzi wako, wewe na hata mdogo wake. Huyo mpenzi wako hana maadili, mwanamke mwenye adabu hawezi kucheza music na mwanaume mwingine mbele ya mumewe.
Shida yako ni kuanzisha mahuriano na mwanamke mnywa pombe, dont get me wrong najua kuna wanawake wanywaji na hata wakinywa wanajiheshimu ila niamini mimi ni wachache na adimu kama kuupata mparachichi jangwani. Wanawake wengi wakinywa kum*a inakua ya sandakalawe, (nakushauri kasome uzi wa kula kimasihaia wa rikiboy )
Kosa lako jingine ni kumuendekeza, "ati ukaamua kuondoka" mdogo make akakuzuia. Dude WTF, yana mpenzr wako anatenda ujinga wewe unaondoka badala ya kumrekebisha na kumuonya asitende tena ?! Je ulivyoondoka jamaa angeenda kumtomb*a kabisa ungekua umetenda busara ?! (By the way kuna probability jamaa alimtafuna mpenzi wako kwasababu umesema aliondoka wewe ukabaki)
Mdogo wake mpenzi wako ni kilaza sana, badala ya kumzuia dada yake asijivunjie heshima yeye anakuzuia wwe kuondoka ili uendelee kushuhudia ujinga wa dada yake, aise nyie watu mko mkoa gani ?! Nyie ni watu wa kabila na ukoo gani ?! Mbona mna matendo ya kijinga jinga sana.
Nina mengi ya kuzungumza kwa tukio lenu ila napata uvivu wa kuandika sidhani hata nayoandika mtanielewa. Ila vyovyote iwavyo hakuna mke hapo, hakuna shemeji mwenye maadili na sidhani kama kuna mume.
Shida iko wapi mkuu 🤣🤣🤣Mshaanza kumisiana kwenye mada za watu
Nipo my ndugu nazubaaga tu huko duniani nasahau hukuRubii longtime sijakuona huku...mekumic[emoji3059]
Hasira za nini sasa rafiki yangu, huyo mwanamke ulimpatia wapi kwanza??Nnahasira moyo unaenda mbio mbio
Mabadiliko makubwa yanatakiwa kufanyika kimaadili na kimtazamo yakianza na wewe. (Kama ukiweza kumuachisha kunywa pombe umetibu 50% ya tabia mbovu huko mbeleni)nimekuelewa natafakali
Haya sawa ,nimefurahi kukutana na comment yako [emoji111]Nipo my ndugu nazubaaga tu huko duniani nasahau huku
we jamaa, ushauri wako utampeleka mkuu katika uharibifu na majutoTomba wote mtu na mdogo wake alafu tembea na yesu
Maadam wote n wanywaji na wahudhuriaji wa baa usiwe na wivu ndo mambo yetu hayo ya baa ukija huku ulevini acha wivu nyumbanAiseee mwanamke unaweza kukaa bar na mpenzi wako huku ukiwa na wadogo zako wa kike
imepigwa nyimbo unanyanyuka unamuacha mpenzi wako kakaaa, mnaanza kucheza mziki na mdogo wako then anatokea mwanaume mnaanza kucheza, inafikia hatua kwenye uchezaji mnaanza kushikana viuno mbele ya mpenzi wako, eeety kwamba shemeji yake kwa mdogo wake mwingine.
Mim ndio kilichonitokea jana nikakasirika nikanuna mno, nikaamua niondoke ile naingia kwenye gari mdogo wake akanifuata akanisihi sana niludi nikakae nae
lakin mimi tayar nishakuwa na kinyongo ukizingatia mitungi niliyokunywa basi bana kukaa kwenye kiti na mdogo wake tukawa tunaendelea mara akaja, iseee nilikuwa nimejitegeza tuuh ashoboke
nilimtukana matusi mengi mazito mazito mbele ya mdogo wake nikamfukuza sitaki kukaa nae kanuna kaondoka, basi nikakaa na ndugu yake mpaka baa inafungwa nayeye akaondoka.
Mm nikampa lift mhudum mmoja mpaka anapoishi [emoji39]...
Jeee ndugu zangu kitendo kilichofanywa mbele yangu ingekuwa wewe ungefanya nini ?
mimi kumtukana jeeeh nimekosea sana ?
Maana mpaka asubuh hii hasira imenijaa sana sitaki hata kumuona na ile sehemu najulikana sana nahisi kanitia aibu naonekana mjinga anyway kanizidi miaka 7 huyo dem
Tayari nimemaliza
Inategemea ana malengo gani na dada mtu. Kama ni kufurahishana acha achape kwa dada na mdogo wake maana hakuna makombo kwenye zile elastic material.we jamaa, ushauri wako utampeleka mkuu katika uharibifu na majuto