Mwanamke wangu kacheza na mwanaume mwingine mbele yangu tena kwa kushikana kiuno

Mwanamke wangu kacheza na mwanaume mwingine mbele yangu tena kwa kushikana kiuno

Unakaaje na mwanamke ambae hakusikilizi..? Hicho kiburi cha kuinuka na kwenda kucheza peke yake Tena na ng'ombe nyengine wewe ndo umekilea!.
Mkuu kinachotuumiza wanaume ni kutokuwa na standard za wanawake tunaowataka.
Tunapenda kuzoea kila anayevutia macho...hii inatuumiza.

Inatakiwa kujiridhisha kuwa uko na mtu sahihi.
Ndio maana ninapenda sana wanawake wenye akili..hapa angemwombe mpenzi wake hivi...baby naweza kucheza?
Baby...twaweza kuinuka tucheze?

Pili ke mwenye akili huwa mwepesi kuisoma akili yako na kamwe hawezi kufanya usichokipenda mbele yako.

Akina mwajuma wa vigodoro sasa ndio hao micharuko na hawajali chochote
 
Aiseee mwanamke unaweza kukaa bar na mpenzi wako huku ukiwa na wadogo zako wa kike
imepigwa nyimbo unanyanyuka unamuacha mpenzi wako kakaaa, mnaanza kucheza mziki na mdogo wako then anatokea mwanaume mnaanza kucheza, inafikia hatua kwenye uchezaji mnaanza kushikana viuno mbele ya mpenzi wako, eeety kwamba shemeji yake kwa mdogo wake mwingine
Ukimwamsha aliyelala utalala wewe
 
Mkuu awali ya yote nikupe pole kwa yalojiri.
Kikubwa chukulia hilo kama lilitokea kwa bahati mbaya. Na shusha jazba zakoo usijiumize bureee.

We n baharia kama jina lako ila huishi kibaharia. Yakufaa kuishi ki baharia kabisa kwa lililotokea ungepaswa kuwa mpole na pale unaona anabambiwa we ungenyanyuka na kwenda kumchukua na kuanza kumbambia weweee

Huyo n mwanamke wa starehe na inawezekana hana maadili ama inawezekana pombe zilimpanda akajisahau na kuweka heshima yako kando.

Hupaswi kukasirika na kununa na kumtelekeza mama nyuma kisa hasira. Yan unapaswa kuvumilia mpaka event inaisha then mnaenda kuyajenga home.

Pia unaweza kustop kwenda nae baa ili kuepusha hayo
 
Hiyo yako cha mtoto..kuna yule jamaa alendaga na dem wake kwenye show ya Diamond sijui ilikuaga fiesta au nini...mondi alipoanza kuperform dem kapanda jukwaan kamnengulia mondi afu kamkumbatia akamnyonya kifua mabaunsa ndo wakaenda kumtoa.... Jamaa alimtembezea dem wake kichapo nusu aue
 
Aiseee mwanamke unaweza kukaa bar na mpenzi wako huku ukiwa na wadogo zako wa kike umepigwa wimbo unanyanyuka unamuacha mpenzi wako kakaaa, mnaanza kucheza mziki na mdogo wako then anatokea mwanaume mnaanza kucheza, inafikia hatua kwenye uchezaji mnaanza kushikana viuno mbele ya mpenzi wako, eeety kwamba shemeji yake kwa mdogo wake mwingine.

Mim ndio kilichonitokea jana nikakasirika nikanuna mno, nikaamua niondoke ile naingia kwenye gari mdogo wake akanifuata akanisihi sana niludi nikakae nae

Lakin mimi tayari nishakuwa na kinyongo ukizingatia mitungi niliyokunywa basi bana kukaa kwenye kiti na mdogo wake tukawa tunaendelea mara akaja, iseee nilikuwa nimejitegeza tuuh ashoboke

Nilimtukana matusi mengi mazito mazito mbele ya mdogo wake nikamfukuza sitaki kukaa nae kanuna kaondoka, basi nikakaa na ndugu yake mpaka baa inafungwa nayeye akaondoka.

Mimi nikampa lift mhudumu mmoja mpaka anapoishi [emoji39]...

Je, ndugu zangu kitendo kilichofanywa mbele yangu ingekuwa wewe ungefanya nini ?

Mimi kumtukana jeeeh nimekosea sana ?

Maana mpaka asubuh hii hasira imenijaa sana sitaki hata kumuona na ile sehemu najulikana sana nahisi kanitia aibu naonekana mjinga anyway kanizidi miaka 7 huyo dem

Tayari nimemaliza
Kapime UTI , HIV na magonjwa mengine Kama ini mkuu
 
ungemshika nawe tako huyo mwanaume.
 
Hiyo yako cha mtoto..kuna yule jamaa alendaga na dem wake kwenye show ya Diamond sijui ilikuaga fiesta au nini...mondi alipoanza kuperform dem kapanda jukwaan kamnengulia mondi afu kamkumbatia akamnyonya kifua mabaunsa ndo wakaenda kumtoa.... Jamaa alimtembezea dem wake kichapo nusu aue
Duh! Kipondo hakikwepeki hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi yana watesa sana watu aisee

Swala la wewe kutopenda kilichotokea ni nature ya wanaume kikubwa jifunze kutawala hisia za wivu

Inawezekana mwenzako akiwa tungi anakua hawezi kujizuia kucheza muziki aupendao

Haya mambo yanata busara kuya handle vinginevyo utakua unaonekana kituko tu
Umemaliza kila kitu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom