Mwanamke wangu kacheza na mwanaume mwingine mbele yangu tena kwa kushikana kiuno

Kwanza pole mkuu, pili hongera haukufanya tukio baya kama kupiga au hata kuua.

Ninaona shida kwa huyo mpenzi wako, wewe na hata mdogo wake. Huyo mpenzi wako hana maadili, mwanamke mwenye adabu hawezi kucheza music na mwanaume mwingine mbele ya mumewe.

Shida yako ni kuanzisha mahuriano na mwanamke mnywa pombe, dont get me wrong najua kuna wanawake wanywaji na hata wakinywa wanajiheshimu ila niamini mimi ni wachache na adimu kama kuupata mparachichi jangwani. Wanawake wengi wakinywa kum*a inakua ya sandakalawe, (nakushauri kasome uzi wa kula kimasihaia wa rikiboy )

Kosa lako jingine ni kumuendekeza, "ati ukaamua kuondoka" mdogo make akakuzuia. Dude WTF, yana mpenzr wako anatenda ujinga wewe unaondoka badala ya kumrekebisha na kumuonya asitende tena ?! Je ulivyoondoka jamaa angeenda kumtomb*a kabisa ungekua umetenda busara ?! (By the way kuna probability jamaa alimtafuna mpenzi wako kwasababu umesema aliondoka wewe ukabaki)

Mdogo wake mpenzi wako ni kilaza sana, badala ya kumzuia dada yake asijivunjie heshima yeye anakuzuia wwe kuondoka ili uendelee kushuhudia ujinga wa dada yake, aise nyie watu mko mkoa gani ?! Nyie ni watu wa kabila na ukoo gani ?! Mbona mna matendo ya kijinga jinga sana.

Nina mengi ya kuzungumza kwa tukio lenu ila napata uvivu wa kuandika sidhani hata nayoandika mtanielewa. Ila vyovyote iwavyo hakuna mke hapo, hakuna shemeji mwenye maadili na sidhani kama kuna mume, mabadiliko makubwa yanatakiwa kufanyika kimaadili na kimtazamo yakianza na wewe.
 
nimekuelewa natafakali
 
Mada "Ongezeko la idadi kubwa ya wanaume kununa nuna ..inachagizwa na nini?"

Nko chimbo naandaa hii mada baada ya kuona malalamiko mengi huku jukwaani ..wanaume wakijinadi wazi kabisa kuwa wanawanunia wapenzi wao

Back to the topic

Huyo mwanamke uliyenaye hana sifa ya kuwa mke...lakini pia na ww punguza kuwa mnyonge (Mr nice Guy) afu pia punguza uzungu na kumuendekeza huyo mwanamke...coz kwa maelezo yako inaonyesha wazi huyo mwanamke ndo anayaongoza hayo mahusiano...na ww unafuata mambo anayoyataka ukidhani kufanya hivyo ndo mapenzi.

Simama imara ,kuwa na misimamo kama kweli unataka uje kuwa na familia imara

Sikukuu njema
 
Maadam wote n wanywaji na wahudhuriaji wa baa usiwe na wivu ndo mambo yetu hayo ya baa ukija huku ulevini acha wivu nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…