Mwanamke wangu kacheza na mwanaume mwingine mbele yangu tena kwa kushikana kiuno

Unakaaje na mwanamke ambae hakusikilizi..? Hicho kiburi cha kuinuka na kwenda kucheza peke yake Tena na ng'ombe nyengine wewe ndo umekilea!.
Mkuu kinachotuumiza wanaume ni kutokuwa na standard za wanawake tunaowataka.
Tunapenda kuzoea kila anayevutia macho...hii inatuumiza.

Inatakiwa kujiridhisha kuwa uko na mtu sahihi.
Ndio maana ninapenda sana wanawake wenye akili..hapa angemwombe mpenzi wake hivi...baby naweza kucheza?
Baby...twaweza kuinuka tucheze?

Pili ke mwenye akili huwa mwepesi kuisoma akili yako na kamwe hawezi kufanya usichokipenda mbele yako.

Akina mwajuma wa vigodoro sasa ndio hao micharuko na hawajali chochote
 
Ukimwamsha aliyelala utalala wewe
 
Mkuu awali ya yote nikupe pole kwa yalojiri.
Kikubwa chukulia hilo kama lilitokea kwa bahati mbaya. Na shusha jazba zakoo usijiumize bureee.

We n baharia kama jina lako ila huishi kibaharia. Yakufaa kuishi ki baharia kabisa kwa lililotokea ungepaswa kuwa mpole na pale unaona anabambiwa we ungenyanyuka na kwenda kumchukua na kuanza kumbambia weweee

Huyo n mwanamke wa starehe na inawezekana hana maadili ama inawezekana pombe zilimpanda akajisahau na kuweka heshima yako kando.

Hupaswi kukasirika na kununa na kumtelekeza mama nyuma kisa hasira. Yan unapaswa kuvumilia mpaka event inaisha then mnaenda kuyajenga home.

Pia unaweza kustop kwenda nae baa ili kuepusha hayo
 
Hiyo yako cha mtoto..kuna yule jamaa alendaga na dem wake kwenye show ya Diamond sijui ilikuaga fiesta au nini...mondi alipoanza kuperform dem kapanda jukwaan kamnengulia mondi afu kamkumbatia akamnyonya kifua mabaunsa ndo wakaenda kumtoa.... Jamaa alimtembezea dem wake kichapo nusu aue
 
Kapime UTI , HIV na magonjwa mengine Kama ini mkuu
 
ungemshika nawe tako huyo mwanaume.
 
Duh! Kipondo hakikwepeki hapo
 
Umemaliza kila kitu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…