Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

Na shida mijamaa ikiwa inapiga mke/demu wa mtu anaemjua kabisa huwa anaikamia kwelikweli, inapigika sana sababu siyo chombo yake. Yaan ukifumania inakuwa kama ukimuazimisha mtu gari yako hafu unamkuta barabarani anavyoiendesha kwa fujo au speed hata wewe mwenye gari huwajawahi kuifikia😁 Inauma snaa!
 
Siyo roho mbaya hayo yanakua Ni maamuzi yakiume.
 
M
Maneno mengi Hekima 0%
 
Inawezekana ukawa sahihi lakin wasi wasi wangu ni kuwa situnzi hekima za watu yamkini ningekadiria ya kwako
Wewe Una mwambia asishike simu ya mke wake, na asirudi bila taarifa.

Kwa hiyo aendelee kuishi na Malaya akiletewa ugonjwa au , huyo mwanamke uko nje akipata mimba kwa hiyo aweze kulea watoto ambao Siyo wao .

Wanaume wanao wasamehe wake zao waki cheat , Wana asilimia kubwa ya kulea watoto wasio wao..
 
Wanaume katika harakati ya kupata changamoto ya afya ya hakiri

Haifai kuoa mwanamke unaelingana nae kiumri au kukuzid, kwake utaonekana bado mtoto japo mtalingana umri.


Huyo mpeleke kwao taratibu na ujipe mda kuwa na mahusiano mapya.

Akibak utaendelea kuumia moyo mpaka hakili na kulea watoto wa jamaa, na mwisho ufe.

Jipende wew kama wew ule vizuri na mazoez pia
 
Nguo tu katombesha wiki nzima!πŸ˜€

Ngoma haiwezi kuisha!!
 
Kama hujafunga nae ndoa na huna mtoto nae fukuza haraka sana kamwe narudia tena kamwe mwanamke msaliti sio wa kumsamehe alafu unaoa mshangazi mkubwa kuliko ww huoni aibu na watoto wa 2000 wamejaa tele
 
Asante sana, Kaka yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…