Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

Mkeo unatoka naye mara ngapi maana toka Christmas unaleta habari ya kutoka na huyo mchepuko wako. Inaonekana mkeo ni kama makochi ndani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya mwaka mpya nilishinda na wife home. Isitoshe yeye kila siku ananiona. Siku zote tupo pamoja, hata kulala nje sijawahi except siku nimesafiri kikazi.
 
Wanaume wenzangu tuwaheshimu wake zetu, tena sana .mkeo ndio Rafiki wako WA kwanza. Kama mkeo sio Rafiki yako basi kuna walakini. Kiapo cha ndoa kinasema kwenye shida na raha, leo ndugu yangu mko kwenye raha unamuongezea mwenzio yaani as simple as that! Halafu unasema yeye ni Mke ananipenda sana, hapo unategemea asifanye chochote. Lkn tambua na yeye ni binadamu na ana feelings Kama Wewe. When woman is fed up kaka hata huo mchepuko utauona sumu. Sasa hapa imekuwa vice versa Mwanaume mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe.
 
Nyie masingle parents muwe mnaoa au kuolewa na wazazi wenzenu tu wa awali, hili kuwaepushia na balaha hao watoto wa wenzenu mnaofunga nao ndoa mpyaa.

Sasa angalia kama wewe hapa yaani huyo mke wako anaonekana amebeba balaha zito humo ndani analoliita mume, sipati picha jinsi atakavyojiskia endapo kama atabahatika kusoma hichi ulichokiandika hapa.

Hakika ukioa au kuolewa na single parent wewe ni mwizi wa mali ya watu na siku yoyote inarudi ilipotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U are not a man enough... Kwanini hukumuoa huyo sasa! Nyie ndio mnawaharibia wanawake maisha kisha tunaanza kuwanyanyasa singles mothers kumbe nyuma ya pazia chanzo ni wajinga kama wewe
 
Dah mkuu una miaka mingapi mbona penzi la mzazi mwezio linakupekesha puta ivyoo Mimi Nina mtoto wa nje alikuwa ananiletea pozi kula papuche yake nikamwambie tulee mtoto saivi nakwambia naishi kwa amani sijifichi tena akipiga ni mtoto basi juzi nilikutana naye kwaajili ya taratibu za mtto shule amenona tako ilo mate yakanitoka ila nikaondoka nikasema cha zamani ni cha zamani tu ata ubadilishe bodi bado ni cha zamani tu nimeblock wasap nisione chochote nisijipatie vishawishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo unajipendekeza!!
Mtu yuko na babe wake na wewe tulia na mkeo!
 
Acahana na ego za kishamba wee mtafute uwe u apewa tunda bwana... Shauri yako wee zembea utakosa papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…