Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 namtaka yule mwingine wa humu, uyu nimependa mawazo na msimamo wake juu ya kuijenga familia yake.....mr M njoo basiNdo huyo hapo sasa my dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 namtaka yule mwingine wa humu, uyu nimependa mawazo na msimamo wake juu ya kuijenga familia yake.....mr M njoo basiNdo huyo hapo sasa my dear
Mkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] namtaka yule mwingine wa humu, uyu nimependa mawazo na msimamo wake juu ya kuijenga familia yake.....mr M njoo basi
Anajua maana ya upendo au anaandika tuuNa mkeo unampenda? Acha hizo upendo wa dhati haugawanyiki utampenda mmoja na kuandamanaye kama ambavyo unafanya. Huyo mkeo anatakiwa kutafakari zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya mwaka mpya nilishinda na wife home. Isitoshe yeye kila siku ananiona. Siku zote tupo pamoja, hata kulala nje sijawahi except siku nimesafiri kikazi.
Anajua maana ya upendo au anaandika tuu
Nipo hapaSjui nimpate wapi mwanaume kama huyu
Atakuwa anaondoa muwashoIla wanaume aaagh!
Hadi kichefuchefu, boroo unalidumbukiza dumbukiza ovyo, hivi husikii kinyaa?[emoji57][emoji57]
Nakuuliza wewe mleta uzi??
Sent using Jamii Forums mobile app
We humpendi mke wako hata kidogo, ila hapa unajustify tu!Mkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.
Halafu anaandika bila aibu! Hatoki na mkewe anatoka na mchepuko halafu anajisifu yupo na mkewe kila siku!! Kuna wanaume ni vichomiNamwona huruma mkewe. Akili yake ipo kwa huyo kimada wake . Kama anataka amtambulishe rasmi kwa bi mkubwa awe huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu. ...Sikumuoa kwa sababu tayari nina mke ila nataka nimuoe hivyo hivyo hata kwa taratibu nje ya dini. ...By the way nikimtafuta si ataniona najipendekeza? Mimi mwenyewe ndio nilimwambia tusijuane halafu tena mimi ndio nianze kumtafuta huoni kama atachukua point zote tatu?
Niitie akuje moyo wangu ndipo umedondokea sina namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unaye jamani, unataka upate wawili sisi tubaki singo daima?!
Mr M ukujee
Shukrani mkuu. Wife nampenda sana. Huwa akitishia kuondoka huwa naona dunia imefika ukingoni. Kiufupi wife means a world to me. Tatizo huyu mama wa mwanangu nampenda kinyama na nikiwa naye faragha huwa ananikuna kisawasawa. Ni wale mademu wenye utundu wa asili, pia she is very beautiful. Kumuacha aende zake sio rahisi as simple as people may think.