Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

Ndo huyo hapo sasa my dear
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 namtaka yule mwingine wa humu, uyu nimependa mawazo na msimamo wake juu ya kuijenga familia yake.....mr M njoo basi
 
Na mkeo unampenda? Acha hizo upendo wa dhati haugawanyiki utampenda mmoja na kuandamanaye kama ambavyo unafanya. Huyo mkeo anatakiwa kutafakari zaidi
Mkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] namtaka yule mwingine wa humu, uyu nimependa mawazo na msimamo wake juu ya kuijenga familia yake.....mr M njoo basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unaye jamani, unataka upate wawili sisi tubaki singo daima?!
Mr M ukujee
 
Umeshinda naye hone outing ni kwa huyo mwingine sio?
Endelea kumfanyia mkeo hayo unayofanya ipo siku utakumbuka ushauri kumbuka naye binadamu itafika atashindwa kukusamehe kama anavyofanya. Au naye akatafuta wakumliwaza na kumtoa outing ndipo utakufa kwa wivu
Siku ya mwaka mpya nilishinda na wife home. Isitoshe yeye kila siku ananiona. Siku zote tupo pamoja, hata kulala nje sijawahi except siku nimesafiri kikazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ushauriwe nini hasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unaye jamani, unataka upate wawili sisi tubaki singo daima?!
Mr M ukujee
Niitie akuje moyo wangu ndipo umedondokea sina namna
 

Una mtoto na mkeo...?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku hizi wanaume vmebaki wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…