Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

Nyau wewe , kwanini huku muoa ukamuacha huyo mdada akaolewa na mwanaume ampendaye kwa dhati, mtu umpendaye huwezi muumiza eti huyo hawala unampenda sana ulishapotea wewe na umelishwa INYA , sasa subili kulishwa sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo unatoka naye mara ngapi maana toka Christmas unaleta habari ya kutoka na huyo mchepuko wako. Inaonekana mkeo ni kama makochi ndani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wote anamuwaza mchepuko, anaumia sababu ya mchepuko daaa Mungu tusaidie, hawa ndiyo waliondikiwa muishi na wake zenu kwa akili, sikukuu kubwa kama hiyo badala ya kuwa na familia eti unaenda ku enjoy na mchepuko, muache apande chuki kwa watoto atavuna anachopanda saizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Focus on the Good

am better here
 
Mkuu nipo njia panda kwelikweli. Mama wa mwanangu namkubali sana. Halafu nina wivu naye sana. Huwa nikipiga simu yake halafu nikakuta ipo busy huwa najisikia vibaya sana. Kiufupi nampenda.
Unachokitafuta utakipata , kumbuka kuna msemo usimwamshe aliye lala
, au ukila na kipofu usimshike mkono, siku kisu kikigeuka urudi kutupasha habari sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sjui nimpate wapi mwanaume kama huyu
Mbona mnakuwa wajinga!?? Huyu anatoa ushauri huku akiwa anafanya kosa la aina ileile..tena me ngoja nikuambie,huyu anayejifanya anaficha mahusiano kwa sababu za kumheshimu mkewe ni mjinga zaidi afadhali mtoa mada ambaye yupo wazi kwa mkewe..hapo mkewe ni kama ameshaambiwa avumilie aina ya huo uhusiano anaweza kuondoka yeye kama anakerwa.

Yaani mnasifia mtu aliyechepuka hadi akazaa!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu niambie jina lake lote eti jamani
😛 😛 😛 ameshajijua sema anajishauuuuaa kwa vile anajua nampenda ila atakuja......husband material isiyochanika iyo
 
Sasa tayari keshachepuka na kasema keshazaa mimi ni nani hata nimpinge???? Ujinga umeuona wewe shost
 
Mungu wangu pitisha mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae ni bwege kwel
 
Sasa tayari keshachepuka na kasema keshazaa mimi ni nani hata nimpinge???? Ujinga umeuona wewe shost
Si unajua lakini ujinga ni kutojua(ignorance) na ujinga upo hapo ulipoona kama Maoni ya huyo jamaa na mifano yake kama ni mtu sahihi sana. Wakati hawana tofauti na mtoa mada,wote wanachepuka na wote wamezaa nje ya ndoa.

Kati yao hakuna hata mmoja anayemheshimu mkewe..mtu amechepuka hadi akapata mtoto halafu anasema anamheshimu sana mkewe!?? Hashima kwa mke ni kutochepuka kabisaa!! Wewe unadhani hiyo siri itadumu kwa muda gani wakati mtoto anazidi kukua!??

Mwisho lazima atakuja kujua tu..na akija kujua huyu ndo ataumia zaidi kutokana na Imani kubwa aliyoijenga kwa mmewe. Heshima kwa mke wangu ni kutokuchepuka..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha hayako fair kabisa!

Wengine wanapata mume na baba bora wa familia.

Lkn wengine wanaambulia andazi tena andazi lenyewe halina hata NaHCO3 soda.

BURE KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wife unampenda na huyo mwingine unampenda pia em chagua mmoja shikilia hapo hapo, lakin kumbuka nafas ya mke haiwez kua sawa na nafas za wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…