Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Nilikuwa nashangaa kwanini muda wote huu unakomaa na hili jambo, now i get it…. Kumbe wewe haujamsahau?

No, we do not belong in the same whatsApp group sis. 🤡👋🏻
We k nini mimi sio mwanamke narudia tena BIKRA HAIRUDI MPAKA UNAOZEANA CHINI
 
kuna sild za kutengenezwa.

ni ngumu sana mwanamke kufika 29 awe sield. sababu sex ni hitaji la kimwili kama chakula na maji vile. na huwezi kupingana na nature na ukaishinda nature.

ikitokea amefika hiyo age akiwa sield lazima atakuwa anasumbuliwa na magonjwa kama mental health yake, fibroids, na mengineyo
Sio lazima usilazimishe maadili yenu huko tandale kwa mtogole na maadili ya familia zenye malezi sahihi
 
Ungeuliza bikra ya wapi?....
mambo yamebadirika sana siku hizi,...🥱🚶🚶
 
haha hapa tatizo sio kidoti tatizo niliachwa... kipo kwenye paji la uso upande wa kushoto
Tatizo sisi ambao ni wakweli na hatuna maneno mengi ya uongo hamtutaki! ila mkikutana na tuzawadi na tupesa twa chips yai! Mnazama mazima
 
Jaribu kuwa unajiongeza kwa kupanua uwezo wa kifikra pindi uambiwapo vitu unbelievable kama hicho
 
Back
Top Bottom