Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Chukua hiyo!

Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha.

Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa.

Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa kukuongoza.

Ncha Kali.
 
Watakuelewa?
Wimbo wao ni 50/50
 
Wanawake wafanyakazi na wafanya biashara wakubwa huto tu visenti vyenu visiwape viburi yaani mwanaume aishi unavyotaka wewe hiyo ndoa lazima iangukie pua.Wanaume wapendeni wake zenu na wakawake watiini waume zenu hii ndio code namba moja.
 
Wanaume wengi wametingwa na wake zao sema kila mwanaume huku mtaani anajiita baunsa haendeshwi hovyo ila kwa sasa hali ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom