Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

Wanaume wengi wametingwa na wake zao sema kila mwanaume huku mtaani anajiita baunsa haendeshwi hovyo ila kwa sasa hali ni tofauti kabisa
Umeongea ukweli mtupu, wanavyojifanya kushangaa hapa utadhani hawayaoni huko mitaani.
 
Huna pesa,huangalii huduma0 kwa familia ukamwendeshe mwanamke wa watu....hiyo ilikuwa mwaka 67 huko....mambo yamebadilika.
Lengo la kuishi pamoja sio kuendeshana, bali kusaidiana..... na uongozi ni wa mwanamme.

Hivyo basi, usichague mwanamme mnyonge kwako ili uchukue mamlaka yake..... bali chagua wa daraja la juu yako ili upate kumtii.
 
Back
Top Bottom