Kama mnatumia gari moja si kuna muda unamwachia mwanamke nae akuendeshe!? Wwe wataka kumuendesha wwe peke yako kila siku huchoki!!??Mwanamke anamuendeshaje mwanaume ?
Watakuelewa?Chukua hiyo!
Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha.
Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa.
Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa kukuongoza.
Ncha Kali.
Kama unaendeshwa kaka pole, mi siwezi kuendeshwa .Unaishi dunia gani?
Labda kwa mana hiyo πππKama mnatumia gari moja si kuna muda unamwachia mwanamke nae akuendeshe!? Wwe wataka kumuendesha wwe peke yako kila siku huchoki!!??
Hata kwenye gari πmwanaume kamili hawezi endeshwa
muendesho anaozungumzia mtoa madaHata kwenye gari π
Muendesho πmuendesho anaozungumzia mtoa mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kwenye gari [emoji23]