Mwanamke zingatia haya ni kwa faida yako

Mwanamke zingatia haya ni kwa faida yako

Unajua kuna imani potofu kua,
1.Uke ni sehemu chafuchafu inayohitaji kusafishwa kwa sabuni,marashi,detol kila mara nje na mpaka ndani.

2.Uke unahitajika uwe mkavu wakati wote.

3.Uke unahitajika uwe hauna harufu hata kidogo .
Dhana hizi na mafundisho ya kitchen party na elimu vijiweni ndo hupelekea wanawake wengi kujirundikia maradhi sehemu zao za siri.

Aiseee....hawa makungwi watatuua hakyanani
 
Hawa ndugu zetu na kitchenparty zao za kusisitizwa kukamulia ndimu,limau,hiliki sijui inakuaje?
 
Kimsingi kama nilivyoeleza hapo juu wanawake wengi wanaugua matatizo hayo sehemu za uke lakini hawatilii umakini kitu ambacho hupelekea matatizo kua sugu na mwishoe ni kuharibu kwa mirija ya uzazi na kujiweka ktk hatari zaidi ya kuugua kansa ya shingo ya kizazi.
 
Sasa nimeelewa kwanin kesi za U.T.I zinaongezeka kila kukicha,asante kwa somo zuri!
 
upo juu jf dokta vile vile kuna ile ya kujifuta na kitambaa baada ya tendo la ndoa anaingiza kitambaa hadi ndani, je ikoje hii?
 
unajua kuna imani potofu kua,
1.uke ni sehemu chafuchafu inayohitaji kusafishwa kwa sabuni,marashi,detol kila mara nje na mpaka ndani.

2.uke unahitajika uwe mkavu wakati wote.

3.uke unahitajika uwe hauna harufu hata kidogo .
Dhana hizi na mafundisho ya kitchen party na elimu vijiweni ndo hupelekea wanawake wengi kujirundikia maradhi sehemu zao za siri.

ukweli kwajinsi ninavyojua wakezetu wa kitanzania kwa kujisafiha.itawachukua muda mrefu sana kubadilika.wakenya wao huwa wanaweza kamaulivyoeleza.
 
Unajua kuna imani potofu kua,
1.Uke ni sehemu chafuchafu inayohitaji kusafishwa kwa sabuni,marashi,detol kila mara nje na mpaka ndani.

2.Uke unahitajika uwe mkavu wakati wote.

3.Uke unahitajika uwe hauna harufu hata kidogo .
Dhana hizi na mafundisho ya kitchen party na elimu vijiweni ndo hupelekea wanawake wengi kujirundikia maradhi sehemu zao za siri.

Uuwii sasa tunafanyaje.. najua tunaahauriwa kutoingiza chochote zaidi ya Abdala kichwa wazi..tunasafishaje .??
 
Kwa waliokuwa hawajui, wamekupata na hopefully watabadilika.
 
Akina dada naomba niwajuze machache huenda yakawa msaada kwenu.

1.Usitumie sabuni yeyote yenye chemical kujisafishia sehemu za siri(hupelekea kuu walinzi wa maeneo hayo na kukusabishia fungus na muasho ukeni.

2.Usitumie ndoo ya kudekia kwa kwenda kuogea(hubeba vimelea na vijidudu vitakavyokusabishia UTI na fungus.

3.Wakati wa kujisafisha baada ya haja kubwa nawa kwa kutoka mbele kuelekea nyuma(hii itasaidia vijidudu vya kinyesi visiingie ukeni na kukuletea madhara.

Asante kwa somo zuri sana ila nauliza wat is the proper means of shavin papuchi kutumia shavin cream, blades, wax etc thanks in advance.
 
Back
Top Bottom