Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

Hoja za Polepole hazijibiki. Akijaribu tu kuna makombora yatazidi kurushwa na chama kitazidi kuchafuka.
Dawa akisha jibu amfungulie mashtaka haraka sana ili ushahidi wa polepole ajenao mahakamani huku tupumzike na mbwembwe za chakubanga naimani hapo tutajuwa nanianamtuma huyu msaulifu .
 
​

Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
 
Naunga mkono

Moto hauzimwi na petrol lla Rostam anataka kuzima kwa Petroleum.

Ngoja tusubiri tuone
 
Asante sana kwa kuongezea nyama Uzi
 
Ila na wewe ROSTAM hata kama upo karibu na Inner cycle ila uwe unaona AIBU kila kashfa kubwa UMOOO!..kutaja tu chache:
-Richmond
-Dowans
-Kagoda
-Mdogo wako na nyara za serikali
-Channel 10
-DP World
......hapendezi kiongozi
Naunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…