Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Bonge la wimboRIP Mzee Hussein Jumbe. Wimbo wako wa Siri ya nini, utabakia masikioni mwetu daima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la wimboRIP Mzee Hussein Jumbe. Wimbo wako wa Siri ya nini, utabakia masikioni mwetu daima.
Kabisa, kipaji kimeondoka.RIP Jumbe. Sauti ya kipekee sana kuwahi kutokea Tz..
AmenMungu ampe pumziko msanii mwenzangu
Duniani tunapita.Dah!..
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu hupita, pumzika kwa amani Hussein Jumbe...wasalimie akina TX, Maalim Gurumo na wengineoMwanamuziki mkongwe Hussein Jumbe amefariki muda huu wakati akiendelea na matibabu katika Hospital ya Amana, Dar es Salaam.
===========
Updates
Mwanamuziki maarufu wa dansi, Hussein Jumbe amefariki dunia.
Jumbe aliyeitwa Mzee wa Dodo na Mtumishi aliwahi kupitia bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound, amefariki leo Jumatatu Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.
Habari ambazo Mwananchi zimetufikia hivi punde, Jumbe alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda mrefu. Mwanamuziki huyo mkongwe atakumbukwa kwa nyimbo nyingi alizozitunga baadhi zikiwa ni Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Isaya na Kiapo.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Twangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.