Wewe kama huwajui vyema wanamuziki ni heri usingechangia chochote maana sio lazima, hizo nyimbo ulizozotaja hapo ziliimbwa na Fresh Jumbe Mkuu na aliyefariki ni Hussein Suleiman Jumbe ambao ni watu wawili tofauti wasiokuwa na uhusiano wa kindugu zaidi ya kazi.Yeah mkuu, apumzike kwa amani, binafsi aliniburudisha na kunielimisha, kumbuka Pamela (baba ya muziki),conjesta (sikinde),kipindi nchi Ina heshima na adabu
Acha kuchulia watu.