TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

Yeah mkuu, apumzike kwa amani, binafsi aliniburudisha na kunielimisha, kumbuka Pamela (baba ya muziki),conjesta (sikinde),kipindi nchi Ina heshima na adabu
Wewe kama huwajui vyema wanamuziki ni heri usingechangia chochote maana sio lazima, hizo nyimbo ulizozotaja hapo ziliimbwa na Fresh Jumbe Mkuu na aliyefariki ni Hussein Suleiman Jumbe ambao ni watu wawili tofauti wasiokuwa na uhusiano wa kindugu zaidi ya kazi.
Acha kuchulia watu.
 
yaani maisha yako yote mpaka mauti yanakukuta mishe zako ni kazi miongoni mwa kazi za Shetani(muziki) dah !

eeh Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema [emoji120]
Hivi munawazaga nini, acheni umungu mtu, wamekua darasa kuptia nymbo zao na hata tunaposklza nymbo zao tunapata hisia za kumrudia Mola na kutenda yaliyo mema. Acha kazi ya hukumu iwe ya Mola, "Kama sauti kanipa Mungu, Jumbe mtamuua bure, kama ni deni semeni niwalipe leo, nachechemea" Hussein Jumbe umeifanya kazi ya bwana kuptia kazi zako, Pumzika kwa Amani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu unayeongoza kwa upumbavu, hivi jinga kama wewe unastahili adhabu gani maana akili yako inawaza nya time zote. Kichwa maji kabisa,

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hata Waliokuzaa na waliokupa Likes hapa nao wana haya haya mabaya yote uliyonianishia hapa.

Pumbavu.
 
Hivi munawazaga nini, acheni umungu mtu, wamekua darasa kuptia nymbo zao na hata tunaposklza nymbo zao tunapata hisia za kumrudia Mola na kutenda yaliyo mema. Acha kazi ya hukumu iwe ya Mola, "Kama sauti kanipa Mungu, Jumbe mtamuua bure, kama ni deni semeni niwalipe leo, nachechemea" Hussein Jumbe umeifanya kazi ya bwana kuptia kazi zako, Pumzika kwa Amani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
sijui wewe ni Dini gani ila bila sha wewe utakua ni kafir ndio maana huwezi kunielewa.

kwa hio we potezea tu ila Wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho wananielewa.
 
Wacha madharau kwa kazi za watu
sijui wewe ni Dini gani ila bila sha wewe utakua ni kafir ndio maana huwezi kunielewa.

kwa hio we potezea tu ila Wale wanaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho wananielewa.
 
yaani maisha yako yote mpaka mauti yanakukuta mishe zako ni kazi miongoni mwa kazi za Shetani(muziki) dah !

eeh Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema 🙏
si kila muziki ni wa shetani shekhe
 
Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii

-------
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana, alipokuwa akipatiwa Matibabu

Mzee Jumbe maarufu 'Mzee wa Dodo' alitamba kwa nyimbo kali alizowahi kuandika ikiwemo 'Nachechemea' na amewahi kuwa katika bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound

View attachment 2584296
Band yake ya talent band itakuwa ishajifia rasmi.
 
Back
Top Bottom