kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
kilaza ikingizwa kwenye msamiati,ombi msisahau na kihiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hazigandi, wimbo wa Lady JaydeeDaah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
KUJIIMALISHA KISIASA KUTUMIA NENO KILAZA NI UJINGA KIWANGO CHA RAMI
Ikiwa ni masaa machache Tangu Raisi wa Jamuhuri Ya Muungano Kuzungumza na wanafunzi wa Chuo kikuu cha mlimani Udsm na kutumia misamiati kama vile VIPANGA VILAZA KUNJI NA DESA
MSAMIATI WA KILAZA Umeonekana kuteka hisia za watu wengi saaana wapo walioumia wapo walioshangilia na wapo ambao hawakuelewa lolote...
Kwanza nichukue nafasi hii kumpongeza saaana mheshimiwa Raisi Jpm kwa kwenda kuzungumza na wanfunzi wa Udsm kwani ni takribani miaka 30 tangu kiongozi wa nafasi yake kukanyaga Eneo la Udsm ambalo ni chimbuko la fikra na shamb lilozalisha Magwiji wengi katika Tasnia ya mbalimbali za taaluma ikiwemo mimi ninaendika uzi huu....
Back to the topic....kwanza nitumie nafasi hii kuwajulisha watanzania wote Mheshimiwa Raisi alitumia lugha inayotumika na katika maeneo ya vyuo hakuna mtu aliesoma udsm hajui neno KIPANGA KILAZA DESA KUNJI RB nk.. hivyo mheshimiwa raisi alijaribu kupeleka ujumbe kwa hadhara husika ili maelewano yawepo na hadhira imsikilize na kuelewa ....
Kati ya maneno yote aliotumia neno KILAZA LILIONEKANA Kushika hisia za wengi wapo waliamini amewadhalilisha na kutaka kutumia mwanya huo kujiimarisha kisiasa ... Nawapa pole huwezi kujiimalisha kupitia NENO KILAZA...maaana utakua na uwezo mdogo kama neno lenyewe KILAZA... Ilivyo maana ake...
Moja kati ya tatizo la nchi hii ni MFUMO ... Mfumo ndio uliosababisha mtoto wa magufuri jescka joseph Magufuri kupita na kufika huko aliko chuo kikuu
Mheshimiwa raisi yupo kwenye Reform kuweka Mfumo imara utakao wanyima watoto wa WALIONACHO na WASIONACHO kutopenya kirahisi katika elimu na katika hili la kuunda mfumo mpya mheshimiwa Raisi hana Urafiki undugu wala ukanda ...
Ndio maaana amekua jasiri hata Kumtumbua rafiki yake Kitwanga Aliekua waziri wa mambo ya Ndani.
Hivyo kama ingetokea leo hii bibie Jesca joseph Magufuri ambaye ni mwanae yupo Udom nae angekua mmoja kati ya wanafunzi ambao wangerudi nyumbani kwa kukosa sifa... Katika kuimarisha mfumo JPM hana ndugu.
Mbali na huyu mwanae je unadhani kati ya wanfunzi wale wa UDOM waliofukuzwa hakuna wapiga kura wake wa chato? Hakuna wan ccm? je hakuna watoto wa ndugu zake? Hakuna watoto wa rafiki zake? Hakuna wasukuma wenzake? Hakuna wakatoliki wenzake? Jibu ni wazi wapo ila pasipo kujali yote hayo kwa maslahi ya Elimu bora ya Watanzania woye na kuunda mfumo imara amewatumbua ......
THIS IS PATRIOTIC REFORM.... Tumuunge mkono mheshimiwa Raisi. Kuweka matokeo ya mtoto ambayo yalipatikana na kufanikiwa kufika hapo alipo katika mfumo dhaifu ni UJINGA KIWANGO CHA RAMI
Tukubaliane wote TULIJIKWAA KATIKA MFUMO WETU wapo walionufaika nao mfumo huo mbovu aliwemo mwenyekiti wa Chadema mbowe ambaye japo elimu yake haileweki leo anaongoza tasisi kubwa ya Upinzani...
TUJISAHIHISHE SASA MHESHIMIWA RAISI KAONYESHA NJIA Tumuunge MKONO
Wenu Nicodemas aka kimeta aka Tupa Tupa wa Lumumba mtanzania halisi mwenye NDUI BEGANI
Jamani Na hata huyo Juma Kilaza ( kwa wale ambao hawkumshuhudia) si kwamba alikuwa ana uwezo mdogo nikuwa walimlinganisha tu na Mwinshehe ikaonekana hivyo yaani walipoishana tu na Mwishehe lakini uwezo wake na nyimbo zake szilikuwa nzuri tu na walikuwa na mapambano na lilipeleka mziki wa dansi mbele. Kuna mmoja aliimba dawa ya moto ni moto na mwingine akaimba dawa ya moto ni maji! ilikuwa bururdani ya kipekee!Daah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
Pia juma ubao na juma mrisho ngulimba wa ngulimba na urafiki jazz bandDaah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
Una maanisha kuwa litumike "Jesca" badala ya Kilaza?Hapo kwenye mchakato na utafiti, hivi sasa hili neno linamlenga dada mmoja mtoto wa kigogo isije ikaonekana neno jina la huyo mtoto ndio safi kuliko hilo la KILAZA.
Swadaktaa!Una maanisha kuwa litumike "Jesca" badala ya Kilaza?
Hahahaaaa unataka kusema kuwa na yeye nia KILAZA??!! Nauliza tu...Mbona hili ni neno common.....kama umeka nyaga vidato vya kibongo bongo unless umesoma nje ama uwe stdVII....!
Sio mwasisi ni muasisiJese sio mhasisi ni mwasisi
Rekebisha hapo kwenye Red mkuu,KUJIIMALISHA KISIASA KUTUMIA NENO KILAZA NI UJINGA KIWANGO CHA RAMI