Mwanamuziki Juma KILAZA na asili ya neno KILAZA

kilaza ikingizwa kwenye msamiati,ombi msisahau na kihiyo!
 
Daah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
Siku hazigandi, wimbo wa Lady Jaydee
 

Alieandika hii lazima ni kilaza, kachanganya R na L utafikiri anaandika na ulimi.
 
Mhasisi wa neno kilaza ambalo limekuwa maarufu hivi karibuni ambaye alikuwa mpiga gitar maarufu DAR ES SALAAM lakini alikuja kuzidiwa katika shindano na MBARAKA MUSHEE , toka kipindi icho mtu ambaye anashindwa kitu akawa anaitwa KILAZA
 
Dah nilikuwa sijui asili ya hili jina aiseee.

Ni kama neno MASABURI, lililotokana na Didas Masaburi aliyekuwa muheshimiwa fulani mahali fulani jijini Darisalama
 
Daah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
Jamani Na hata huyo Juma Kilaza ( kwa wale ambao hawkumshuhudia) si kwamba alikuwa ana uwezo mdogo nikuwa walimlinganisha tu na Mwinshehe ikaonekana hivyo yaani walipoishana tu na Mwishehe lakini uwezo wake na nyimbo zake szilikuwa nzuri tu na walikuwa na mapambano na lilipeleka mziki wa dansi mbele. Kuna mmoja aliimba dawa ya moto ni moto na mwingine akaimba dawa ya moto ni maji! ilikuwa bururdani ya kipekee!
 
Daah enzi zetu hizo,ndo kulikuwa starehe,Pale Juma Kilaza,Salumu Abdallah,Mbaraka Mwinshehe,Marijan Rajabu....kweli siku hazirudi nyuma aiseee.
Pia juma ubao na juma mrisho ngulimba wa ngulimba na urafiki jazz band
 
Pia kuna neno KISANGA alikuwa ni mtu mwenye matukio tofauti tofauti alikuwa akipata noma nyingi...visanga....
 
Juma Kilaza[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 

Attachments

  • 1465205501054.jpg
    83.6 KB · Views: 114
Rekebisha hapo kwenye Red mkuu,

Halafu unasema una ndui begani?? una uhakika kama ndui ilikua inachomwa kwenye bega na sio juu ya mkono karibu na bega?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…