TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Daaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!
Hiyo imani ya mti huo ...waswahili hawakosagi neno.
Huwa wanasema ni mti dume unaua wanaume
 
Sema basi na wewe.
 
Tatizo sio lorry la michanga ni mabovu hayana hata parking lights hata kuweka reflector shida ndio maana utakuta wantembea usiku hii ndio shida
 
Kama ni mganga au tapeli atajua yeye na Mungu wake, binafsi siwezi mhukumu Mtumishi wa Mungu.
 
Msibani wanachokaga sema ulilewa poleni acheni kunywa kulewa na kuendesha gari

Rest in peace
 
Duh jamani nimesikitika sana RIP Maunda, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akurehemu kipenzi, na awape faraja itokayo kwake wanao, baba yako na familia yako nzima. Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarejea.
 
Inasemekana Marehemu alikua kanywa na yeye ndiyo alihama njia kwenda kugonga Lori.

Tuwapunguzie lawama wasio na makosa
Huyu si muislamu ama hakuwa kwa mfungo, anyway apumzike kwa amani
 
RIP Maunda,nimeumia sana.Mungu aifariji familia yako na akukuzie wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…