Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ile nyimbo ni mpaka Afrika mashariki na kati wanaielewa na dunia nzimaWimbo wake NATAKA NIWE WAKO ni wimbo mzuri uliokonga nyoyo za mashabiki. Ile nyimbo ilitugusa hadi wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nyimbo ni mpaka Afrika mashariki na kati wanaielewa na dunia nzimaWimbo wake NATAKA NIWE WAKO ni wimbo mzuri uliokonga nyoyo za mashabiki. Ile nyimbo ilitugusa hadi wanaume.
Sisi zinatusaidia wewe bashite km hazikusaidii kaa kimya kunguru wewe usitafte kiki kwenye matatizo ya watusasa nyie kenge mnadhani r.i.p zenu ndio zinamsaidia nini ?
Alikuwa charming hadi raha
Huyu dada alistahili tuzo.
Hiyo imani ya mti huo ...waswahili hawakosagi neno.Daaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!
Sema basi na wewe.Usanii tu hata angekufa mtu mwingine angesema katabiri. Utabiri gani hauna hata maelezo ya kutosha wala timeframe ila neno tu tasnia ya burudani. Hata mimi naweza kusema naona umauti kwenye siasa.
Hata akifa mwenyekiti au mwanasiasa yoyote baada ya miezi nasema nlitabiri
Kama ni mganga au tapeli atajua yeye na Mungu wake, binafsi siwezi mhukumu Mtumishi wa Mungu.Huwa nashangaa mganga wa kienyeji anapoitwa mtumishi kisa anatoa tabiri mbalimbali huku ameshika biblia mkononi huku akinyofoa vipande vya maandiko nusu nusu ili kuhalalisha ujinga wao.
Ktk Ukristo hakuna unajimu wa hivyo hao wasoma nyota ni waganga kama waganga wengine tofauti wao wanavaa suit na kuendesha magari hawajajifunga mashuka mekundu kama mliowazoea.
Naona wingu zito la watu kutoka tanzania kufa kwa ajali za barabarani.Sema basi na wewe.
Naona upo kubishana mkuu.
Si tulielewana tunamuombea Kwa Mungu
Sawa chiefUsinipangie. Mimi namuombea kwa Mizimu yetu ninaowaamini.
Huyu si muislamu ama hakuwa kwa mfungo, anyway apumzike kwa amaniInasemekana Marehemu alikua kanywa na yeye ndiyo alihama njia kwenda kugonga Lori.
Tuwapunguzie lawama wasio na makosa