TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Shida sio magari ya mchanga ila shida ni aina ya madereva wanaoendesha hayo magari, na sio Dar es salaam tu.

Mwezi wa pili nilikuwa mwanza kwenye site ya Engineer mmoja hivi mkubwa wa JKT (ZONAL MANAGER) sasa kulikuwa na gari tatu tumeziagiza mchanga , bwana weeh roli moja wakati inarudi nyuma kumwaga ilikuja kasi wakati nimesimama nyuma kwenye nguzo ya varanga kuilekeza pa kuuweka mchanga, nikashangaa inakuja kasi ile kutahamaki nikimbie ilifika ikapiga ile nguzo na kutokana na kwamba ilikuwa na mzigo badi ilivunja nguzo zikabaki nondo zinaelea juujuu, nikawa nimenusurika kifo hivyo.

Kumchomoa dereva anatoka raia anaonekana mvuta bangi kabisa na wala hana lesseni, gari yao ilienda kambini (jeshini) for two weeks kisha boss wao akafanya compasations. Serikali imulike hawa madereva wa malori wamesahaulika sana.

R I P Maunda Zorro.
 
Wewe ni Askari?
 
Kama kuna mtu huo wimbo wake aliutumia kwenye harusi au dedication yeyote, ni wakati sasa angalau utoe rambirambi kwa wafiwa.
 
Ishanikuta hii, gari ilibakiza ka 2mm ivi iguse nguzo ya veranda.
 
Yeah very true kila mtu anapenda starehe na mambo mazuri asee!ishu hela tu ndo shida



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ajali na kifo hutokea pasipo wewe kujua,2020 oct 28 nlipata ajali mbaya sana mbele ya shelui nligonga kundi la ngombe ucku walivuka mimi nkiwa speed ...ingekua gari ndogo sidhani kama ningetoka hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…