Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Askari?Shida sio magari ya mchanga ila shida ni aina ya madereva wanaoendesha hayo magari, na sio Dar es salaam tu.
Mwezi wa pili nilikuwa mwanza kwenye site ya Engineer mmoja hivi mkubwa wa JKT (ZONAL MANAGER) sasa kulikuwa na gari tatu tumeziagiza mchanga , bwana weeh roli moja wakati inarudi nyuma kumwaga ilikuja kasi wakati nimesimama nyuma kwenye nguzo ya varanga kuilekeza pa kuuweka mchanga, nikashangaa inakuja kasi ile kutahamaki nikimbie ilifika ikapiga ile nguzo na kutokana na kwamba ilikuwa na mzigo badi ilivunja nguzo zikabaki nondo zinaelea juujuu, nikawa nimenusurika kifo hivyo.
Kumchomoa dereva anatoka raia anaonekana mvuta bangi kabisa na wala hana lesseni, gari yao ilienda kambini (jeshini) for two weeks kisha boss wao akafanya compasations. Serikali imulike hawa madereva wa malori wamesahaulika sana.
R I P Maunda Zorro.
Kama kuna mtu huo wimbo wake aliutumia kwenye harusi au dedication yeyote, ni wakati sasa angalau utoe rambirambi kwa wafiwa.Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam.
Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa mwanamuziki Banana Zorro.
Maunda Zorro aliwahi kutamba na vibao kama vile 'NATAKA NIWE WAKO' na 'MAPENZI NI YA WAWILI' ambavyo mpaka sasa vinapendwa na wapenzi wa muziki kwani ni aina ya muziki usiochuja.
Apumzike kwa Amani
=============================
Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Banana Zorro amesema:
"Nimezipata hizo taarifa ndio naelekea Hospitali ya Kigamboni, taarifa ni za kweli tulikuwepo kwenye msiba jioni ya leo wa rafiki yetu mwingine wa karibu, nilikuwa nae Maunda hadi jioni saa 11 hadi 12 nikarudi nyumbani kulala maana msiba ulikuwa Kigamboni na yeye anakaa Tuangoma.
"Chanzo cha kifo ni ajali ya gari, niliachana na Maunda saa 12 jioni ajali amepata mida ya saa 4 usiku, ila sina uhakika sana (wa muda aliopata ajali) hadi nikifika Hospitali maana nilirudi nyumbani nikiwa nimechoka sana."
=============================
MWILI WA MAUNDA KUZIKWA JUMAMOSI
Kaka wa marehemu Maunda Zorro, Banana Zorro ametoa ratiba rasmi ya MAZISHI ya dada yake Maunda Zorro.
Marehemu Maunda Zorro atazikwa siku ya Jumamosi Aprili 16, 2022 nyumbani kwake Twangoma Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2186717
View attachment 2186720
Kumbe mtoto kabisa sisi tumepigia picha ya yule malaya aliyemuosha miguu yesuRip maunda, kipindi na balehe picha zake nmepigia Nyeto sana daaah
Ishanikuta hii, gari ilibakiza ka 2mm ivi iguse nguzo ya veranda.Shida sio magari ya mchanga ila shida ni aina ya madereva wanaoendesha hayo magari, na sio Dar es salaam tu.
Mwezi wa pili nilikuwa mwanza kwenye site ya Engineer mmoja hivi mkubwa wa JKT (ZONAL MANAGER) sasa kulikuwa na gari tatu tumeziagiza mchanga , bwana weeh roli moja wakati inarudi nyuma kumwaga ilikuja kasi wakati nimesimama nyuma kwenye nguzo ya varanga kuilekeza pa kuuweka mchanga, nikashangaa inakuja kasi ile kutahamaki nikimbie ilifika ikapiga ile nguzo na kutokana na kwamba ilikuwa na mzigo badi ilivunja nguzo zikabaki nondo zinaelea juujuu, nikawa nimenusurika kifo hivyo.
Kumchomoa dereva anatoka raia anaonekana mvuta bangi kabisa na wala hana lesseni, gari yao ilienda kambini (jeshini) for two weeks kisha boss wao akafanya compasations. Serikali imulike hawa madereva wa malori wamesahaulika sana.
R I P Maunda Zorro.
Kila nafsi itaonja mauti,starehe wote tunafanya hata maskini anapenda starehe shida ni noti tu...nlikutana nae mwz miaka ya 2011 kala mjani kinoma kabla ya showMmmmh mdomo koma [emoji40][emoji40][emoji40][emoji28]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mshiki kapiga mtu kwenye mshonoAiseee
Yeah very true kila mtu anapenda starehe na mambo mazuri asee!ishu hela tu ndo shidaKila nafsi itaonja mauti,starehe wote tunafanya hata maskini anapenda starehe shida ni noti tu...nlikutana nae mwz miaka ya 2011 kala mjani kinoma kabla ya show
kabisa kabisa hata bajaji, bodaboda na daladakla as well ,Wengi wanakuwa ni wavuta bangi na madei waka alafu huwa wanahisi dunia imewaacha nyuma sana so barabarani wanakuwa na papara kujaribu Ku compensate!
Au nae anapiga vyombo?[emoji23][emoji23]Nilijua watu kama wewe wenye viherehere lazima muwepo kipi kibaya hapo?
Acha ujuaji!!!!
Hapana mimi si askari, mimi ni Civil Engineer. Ile gari ilienda kambini kwasababu mwenye site ndo ZONAL CONSTRUCTON MANAGER wa JKT.Wewe ni Askari?
Alikuwa na mimba?Si wale kule Bunju daaaah Yule demu kafa na mimba yake
Ile ilirudi mazima aiseeh, ile nimetoka tu kwenye nguzo ilipiga kwa kishindo zikabaki ndondo tu nazo zimepinda hatari (Gari ilikuwa na mchanga).Ishanikuta hii, gari ilibakiza ka 2mm ivi iguse nguzo ya veranda.
Imani ya kipuuzi.Hiyo imani ya mti huo ...waswahili hawakosagi neno.
Huwa wanasema ni mti dume unaua wanaume
Wee nae hebu kwenda huko, unafiki tu[emoji57][emoji57]Chunga sana maneno yako.
Eeeh alikuwa na mimba bwana, daah.
Ajali na kifo hutokea pasipo wewe kujua,2020 oct 28 nlipata ajali mbaya sana mbele ya shelui nligonga kundi la ngombe ucku walivuka mimi nkiwa speed ...ingekua gari ndogo sidhani kama ningetoka haiYeah very true kila mtu anapenda starehe na mambo mazuri asee!ishu hela tu ndo shida
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app