Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashanga wadau wanakomalia lori lori, hawangali upande wa pili alikuwajeInasemekana Marehemu alikua kanywa na yeye ndiyo alihama njia kwenda kugonga Lori.
Tuwapunguzie lawama wasio na makosa
R.I.P shangazi mzuri mzuri[emoji3059][emoji7][emoji8]View attachment 2187491
Ile njia nayo syoMkuu umewahi pita usiku njia ya tegeta_bunju?
Ni hatari hiyo njia malori yanakimbia mwendo wa fast & furious by paul Walker
Sawa mkamilifuakavune alichopanda kwa Mungu sio kwa Mzungu.
mpaka anakufa bado anaendekeza anasa za dunia tu
We hupigi vyombo dear[emoji3]
Mwisho mwema kwanini???Kifo hakina taarifa kinakuja bila taarifa.
Mungu atujalie mwisho mwema.
Upumzishwe unapostahili dada.
Mizimu yenu ndio inakaa mapokezi mkuu???Rest easy dada. Nakuombea Mizimu yetu waipokee roho yako!
umefika huku mkuu???kumaAmayO
Wangapi wamefariki kwa ajali hiyoDaah RIP Maunda na kumbuka kipindi yupo Tabata kwa mama yake ,yy yupo form IV mimi form one tulikuwa tunapanda gari kituo kimoja,kipindi hiko pisi ya ukweli.
Alikuwa peke yake?Alikuwa anatoka kigamboni kwenye msiba kwa maelezo ya banana Zorro
Kuna mmoja ana uza duka hapa ogisi, basi nikaenda dukan kwake majira ya saa sabà ivchana ebana nikamkuta jamaa ana gonga ubweche na molten due 😃😃😃😃Kwani Waislam wote wanafunga? tupo nao mtaani wanakula na beer wanakunywa.
Ameen[emoji1545]
Msheku umenifanya nikapaliwa tikitikumaAmayO