TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Inasemekana Marehemu alikua kanywa na yeye ndiyo alihama njia kwenda kugonga Lori.

Tuwapunguzie lawama wasio na makosa
Nashanga wadau wanakomalia lori lori, hawangali upande wa pili alikuwaje

Ova
 
R.I.P shangazi mzuri mzuri[emoji3059][emoji7][emoji8]View attachment 2187491
 
Kifo hakina taarifa kinakuja bila taarifa.
Mungu atujalie mwisho mwema.
Upumzishwe unapostahili dada.
Mwisho mwema kwanini???
Ifanye kila siku iwe njema na sio mwisho mwema.
steve jobs alipata kusema "when you live each day as the last day of your life some days you will be right".
 
Daah RIP Maunda na kumbuka kipindi yupo Tabata kwa mama yake ,yy yupo form IV mimi form one tulikuwa tunapanda gari kituo kimoja,kipindi hiko pisi ya ukweli.
Wangapi wamefariki kwa ajali hiyo
 
Kwani Waislam wote wanafunga? tupo nao mtaani wanakula na beer wanakunywa.

Ameen[emoji1545]
Kuna mmoja ana uza duka hapa ogisi, basi nikaenda dukan kwake majira ya saa sabà ivchana ebana nikamkuta jamaa ana gonga ubweche na molten due 😃😃😃😃

Nikasema huyu kama angekuwepo pale Afrighanstan basi angewajua Taliban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…