ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Miti nuksi hiyo kamwe usipande nyumbani kwako.....Daaaaah Maunda Umetuacha....
Lakini kule Kijijini kwetu WANASEMA KILICHOMUUA NI HIYO MITI inayoonekana kwa Picha ya nyumbani kwake. Anyway kila mtu ana imani yake tuyaache hayo na dada yetu apumzike kwa Amani!
Hasa kule kigamboni lori zinakimbia sana na ile njia ya kongowe kuelekea kigamboni ni hatari sana malori yanaenda hovyo sanaJuzi tu kuna askari jamaa yetu tumetoka kuzika,gari lake liliogongoana na Lori LA mchanga.
Polisi iangalie uwezekano kudhibiti madereva wa malori ya mchanga-ni matatizo.
Mkuu umewahi pita usiku njia ya tegeta_bunju?Hasa kule kigamboni lori zinakimbia sana na ile njia ya kongowe kuelekea kigamboni ni hatari sana malori yanaenda hovyo sana
Mkuu, soma vyema...nimesema kuna Mtumishi alitabiri nimeweka na udhibitisho...kauli chafu za nini?Acheni usanii kenge nyie
Mbona hamtabiri vifo vyenu
Acheni usanii wenu nyie, alitabiri nini hiko. Sasa muende kuwadanganya waumini wenu Jumapili ya pasakaMkuu, soma vyema...nimesema kuna Mtumishi alitabiri nimeweka na udhibitisho...kauli chafu za nini?
Hao ni akina sangoma tuMkuu, soma vyema...nimesema kuna Mtumishi alitabiri nimeweka na udhibitisho...kauli chafu za nini?
Mimi nimeleta taharifa na picha juu, angesema Sheikh Yahaya ungesadiki?Acheni usanii wenu nyie, alitabiri nini hiko. Sasa muende kuwadanganya waumini wenu Jumapili ya pasaka
[emoji2][emoji850]kumaAmayO
Hao wa mchanga kuanzia saa moja jioni hasa hasa kwenye hizi barabara za kuingia mitaani akikaa nyuma yako na ukajua ni gari ya mchanga au akiwa anakuja mbele yako mpishe mwache aende hawa jamaa huwa wanafanya vitu vya ajabu barabarani kama maroboti.Malori ya mchanga ni tatizo kubwa Sana ,pamoja na Yale ya kubeba mifugo ,
Usanii tu hata angekufa mtu mwingine angesema katabiri. Utabiri gani hauna hata maelezo ya kutosha wala timeframe ila neno tu tasnia ya burudani. Hata mimi naweza kusema naona umauti kwenye siasa.Mimi nimeleta taharifa na picha juu, angesema Sheikh Yahaya ungesadiki?
Vipi wewe ni msafi? Au ni vile unayatenda gizaniakavune alichopanda kwa Mungu sio kwa Mzungu.
mpaka anakufa bafo anaendekeza anasa za dunia tu
labda kwa sababu nayatenda gizani so nikiondoka matendo yangu ndio yatakayo nihukumu ila r.i.p zenu hazitanisaidia kwa sababu hamjaniandalia sehemu ya kupumzikia na huko sio kwa Mjomba wenuVipi wewe ni msafi? Au ni vile unayatenda gizani
Rest in Peace Maundazorro ...Nakumbuka nlikua namuonaga kwa Aziz ally kuna saloon alikua anakujaga ...kipindi hiko anakaaga kurasini