TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

labda kwa sababu nayatenda gizani so nikiondoka matendo yangu ndio yatakayo nihukumu ila r.i.p zenu hazitanisaidia kwa sababu hamjaniandalia sehemu ya kupumzikia na huko sio kwa Mjomba wenu
Basi sawa
 
RIP aiseee hiyo njia ya kigamboni kongowe maroli ni yanaachiwa kama wanawahi kitu gani sijui na kibarabara ni chembamba mno
 
Basi sawa
akili mtu wangu

IMG_0772.jpg
 
Mkuu, soma vyema...nimesema kuna Mtumishi alitabiri nimeweka na udhibitisho...kauli chafu za nini?
Huwa nashangaa mganga wa kienyeji anapoitwa mtumishi kisa anatoa tabiri mbalimbali huku ameshika biblia mkononi huku akinyofoa vipande vya maandiko nusu nusu ili kuhalalisha ujinga wao.

Ktk Ukristo hakuna unajimu wa hivyo hao wasoma nyota ni waganga kama waganga wengine tofauti wao wanavaa suit na kuendesha magari hawajajifunga mashuka mekundu kama mliowazoea.
 
Juzi tu kuna askari jamaa yetu tumetoka kuzika,gari lake liliogongoana na Lori LA mchanga.

Polisi iangalie uwezekano kudhibiti madereva wa malori ya mchanga-ni matatizo.
Yale huwa ni majitu mapumbavu sana. Sijui kwanini wote akili zao ni aina moja. Huwa najiuliza ni vipi mpaka wanapata leseni kwa aina ile ya akili
 
Back
Top Bottom