Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo


Who is this even? Mtu anitajie any one of his songs......
 
Hahaha naona unajaribu kui sugar coat kapuka ionekane bora mbele ya harakati halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abadili style kivipi yani?

Yani abadili identity yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Celebrated Kenyan rapper Khaligraph Jones emerged top in Africa beating all the other African rappers in his category during the just concluded Sound City MVP Awards in Nigeria.


Source: Kenyans.co.ke

Useless!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo heading hatari.. Muziki wa Kenya ulikuwa zamani sio sasa hivi.
Ukitoa Nyashiski, Khali na Sauti sol sijaona kingine. Willy paul na Bahati hamna kitu na washukuru Mungu kushirikiana na wasanii wa bongo kidogo wanapata airtime. Otille ndio kabsaa hata sielewi anapewa airtime maana ni below average artist na angekuwa bongo bado angekuwa underground
 
Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vee mtoto wa balozi.. kutoka U.S.A tu tayari ana miaka 13. She is a global citizen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Vee mtoto wa balozi.. kutoka U.S.A tu tayari ana miaka 13. She is a global citizen

Ni alumni wa chuo cha hapa Nairobi.... interviews zake huonyesha yuko poa sana.
 
Hivi we jamaa mbona unaichukia sana TZ
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni alumni wa chuo cha hapa Nairobi.... interviews zake huonyesha yuko poa sana.
Sio alumni, hakumaliza university wala hajaenda law school maana alipata deal la kuwa presenter MTV. Yupo njema upstairs kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…