babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Truth must be told. Khali ni mkali lakini bado anastruggle sana kupenya soko la Tz, kafanya collabo na wasanii wengi wa Tz lakini impact ni tofauti na investment. Nyashiski ni mjinga mmoja ila alikuwa na uwezo wa kuiteka bongo kirahisi sana, tatizo EGOEndelea kuhate, Watz wanamkubali tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hujakutana na mjinga mmoja ndo utajua hate ni nini.. huyu hadi nairaland ana spread hate kuhusu watz
Itakubidi utumie akili kuelewa hizi mada, hamna mtu humu ameichukia Tanzania.....
Aisee mrundi tena , fitna za bongo hujambo.Kujulikana Bongo sio kigezo cha kuwa msanii bora, nyie huko huwa mumesindikwa ndani ya aina moja ya muziki, halafu pia nje ya yule Mrundi wa Kigoma anayeitwa Diamond, hakuna msanii mwingine wenu anayefahamika kimataifa, makajamba wengine wote hupigia makelele huko na wakisonga sana labda wafike Kenya.
[emoji23][emoji23][emoji23] hujakutana na mjinga mmoja ndo utajua hate ni nini.. huyu hadi nairaland ana spread hate kuhusu watz
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimtag ila mimi simo NairobiWalker
Hapana mkuu huyo jamaa ni popular sana kwenye hip hop zile ngumu. Sema hip hop ngumu haipendwi na wadau wengi na ndio maana unaona kama hawajulikaniMsani kama anaimba vyema atajuliana tu hata angekuwa nchi gani na wala haihitaji mtu awe na exposure yoyote kumfahamu msani. Msani gani unayemfahamu wewe na familia yako then unaingiza mambo ya exposure. Hajulikani hajulikani tu.
Kali ni mkali lakini bado kuna ubishi, hata aongezeke mara mbili ya hapo hawezi kumpata niki mbishi/
Mi kwe ile crew namkubali P MawengeNamkubali huyu jamaa ila kiukweli Kaligraph hafiki hata robo kwa unju bin unuki
Kwasababu hakazi sana kama mbishi and i bet katika nyimbo zake unayoipenda sana itakua ile "noma mwanangu"Mi kwe ile crew namkubali P Mawenge
Namkubali pia Chindo Man, TDX, nilikua namkubali Geez so ukisema namkubali kwa kuwa hakazi nadhani unaingia kwenye list ile ile ya watu wanaohisi wanawajua watu wasio wafahamuKwasababu hakazi sana kama mbishi and i bet katika nyimbo zake unayoipenda sana itakua ile "noma mwanangu"
Namkubali pia Chindo Man, TDX, nilikua namkubali Geez so ukisema namkubali kwa kuwa hakazi nadhani unaingia kwenye list ile ile ya watu wanaohisi wanawajua watu wasio wafahamu
Na huyu ni msani? Ndio namsikia Leo sijui hata wimbo wake hata mmoja
Mtu mpaka anapata tuzo la mwanamuziki bora Afrika halafu unasema hajulikani, wewe binafsi kama haumjui wacha kuwaburuza wenzako, wewe ndiye utakua umelala na huna exposure, jifunze kufuatilia mambo ya dunia nje ya kitongoji unachoishi.
Show zipi za kimataifa, labda huyo Vanessa nafuu yake kasomea Kenya hivyo hata IQ na kutema yai yuko freshi.