Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Sasa kwani khaligraph alishawahi kubadili flow?? Tokea namjua anaflow ileile yani tunaweza tukaweka beat moja refu akachana ngoma zake zote na tukajua ni verse moja refu tu
Ushaisikiliza ngoma ya Superman?
 
Opinions are like assholes,everyone has one.
Good.
Appreciate, don't hate. Matter of fact, hakuna rapper yeyote ndani ya bongo anayeweza ku-battle nje ya bongo.... sio kwa zile ze, ze, ze, zenu.
The OG shall be respected.
 
Najivunia kulala na mkeo, nimevumilia sana na leo/

nimeamua kusema sijari kama utanikaba koromeo, utanivunja na kuniacha kimeo/

Kamwe sijutii katu, sijutii katu piga kelele jaza umati sihofii watu/

Nimekubuhu mpaka inafika hatua, nimefanya mtaa mzima unajua/

Na sifikirii ni rough...kwa mtindo zaidi ya saba, na maumbile nimejaliwa si haba/

Nilimpa raha kote kwenye gari na valanda, kama mfungwa aliyekutana na kahaba/

Ona mrume ndago bila kiwewe, kila ulipo safiri mi nilipiga misele/

Aliponiita niliitika kuzizima kelele, na nilipofika nilihakikisha anafika kilele/

Alinipeleka mbali kwa misemo moto moto hadithi njoo utamu kolea, ukihisi naongeza chumvi kwa maneno ya uongo ona alama ya meno kwenye mgongo halafu ngojea/

Ni hakika alinikumbuka kila mida, na aliponita niliibuka bila shida/

Alipopata swali aliniona mimi kwanza, akajiita jen nikajiita tarzan believe that/

Alifika na kukaza na kamba, aliweka mizizi ya kukata na panga/

Alichizika utasema mwehu, moyoni aliacha alama kama ronaldo alivyoacha alama bernabeau/

Nilikua siufahamu ugoni, aah kama kufumaniwa ni dhambi na nitapata adhabu motoni....nitaenda na tabasamu moyoni//

Labda wakati ni sasa nimerudi kuenzi nafasi, napenda uhakika silengi bahati/

Naomba ujue kua mkeo, mkeo hakupendi kwa dhati, kumlazimisha ni kumuenzi hayati/

Sasa kwanini usinipige na ulivyojifungia misuli, nivunje mbavu zangu labda utajiskia vizuri/

Fanya maamuzi sasa maana najitia kiburi, niue leo walimwengu watafukia kaburi/

Najiskia uchovu na miayo napiga, ulizia hizi nyayo na nyika/

Nimetoka mbali fanya maamuzi tuhitimishe kikao, maana mimi nina mishe kibao/

Mishe hata wewe unazo mishe unazo badili, fafanua eleza na uweke mifano isawili/

huo ubishi wakujikweza weka kando ukatili, leo ndio mwisho vina navunja ndoa yako batili/

Andika talaka ili tuondoke...maana maamuzi ni yako au chukua panga unichome/

Haukuitendea haki kura yako, kuchagua ndoa wakati sio jambo kubwa kwako....Utakapochukua wasaa utagundua ulimpa saa alipohitaji muda wako/

Anajua kua mkoa mbali unawatoto, anajua kuhusu vikao na safari za uongo/

anajua kuhusu kondomu ulizobana kwenye nguo, na meseji za wasichana wachuo/

Ulimkuta mwema ukamteka kiakili, ukamshawishi mpaka akakupa shehena ya mwili/

Akakupa moyo akihisi utaweka nadhiri, ukajisahau na ukamuonesha asili/ kwamba wewe ni mchafu tu

Kipi unaropoka lakini, ubaya ulipwa kwa ubaya unachokonda ni nini?

Mmoja ametupa na mwingine ameokota yamkini, aliyetupa ni wewe na niliyeokota ni mimi/

Ilikua nisababu ya msongo wa mawazo, na ndio maana uliona wife sio wamoto kama mwanzo/

Uliteseka kiasi ukahisi ndoa ni sumu, na nikachukua maamuzi magumu/

Dongo kwako nilimuokoa nikamvusha bahari, maana muungwana vitendo maneno hayata angusha jabari/

Siku mwili hautagusa sayari, utamkumbuka na utajifunza kujari/

Mpunga umeyumba umeanza kujishuku mzee, umerudi nyumbani baada ya kushindwa kumudu starehe/

Haukuwepo kwenye shida ilipofuzu tarehe, ulikimbia nilikuwepo mimi pekee/

Ngoja nikuudhi, unajua mwanao ananiita dady, nampeleka shule namrudisha nyumbani baada ya kazi?

Nalipa ada, ada usizoweza kutoa, mwanao amefikia balehe na nimemfunza kunyoa/

Nimemfunza ushairi,nimemfunza kufunga kamba za viatu, nimemfunza kufunga tai kisha kamba za viatu/

Nimemfunza kuhusu sheria zinaoongelewa bungeni, na nilienda kumtetea alipoonewa shuleni/

Una hoja yeyote devensively?, maana haujui kama wanalala ama wanaamka safely/

Hujui kuhusu family dinner,wemen days,bithdays zao hujui kuhusu anniversary/

Hujui maumivu aliyopata moyoni, hujui harufu ya chakula alichopasha jikoni/

Haujui kuhusu depression, maana mara mbili nimemkuta amejifunga kamba shingoni/

Nampenda yeye amenifanya nipate ishara, amenipa counselling amenifanya niache sigara/

Anajua chakula nikipendacho, timu niipendayo, kinywaji, anajua even my favorite color/

Wenzio tunatafuta familia ili tujenge, wewe yako ninini? Mkeo ameisaliti ndoa sababu yake ni upweke/...sababu yako ni nini?

You know what they say what goes around comes around men, yeah that's true so i wonder why you changed, you used to be a good man what happened to you?

Nakiri mbele za watu nilishiriki hii dhambi, uvungu wa moyo wangu unasema usaliti ni haki/

nyanyua kisu chako uniue ila naomba uelewe, sijaivunja ndoa yako umeivunja ndoa yako mwenyewe/



It's Scars
Hizi punchlines ndio uzilinganishe na za OG?
 
Niukweli hata sisi humu tunaweza kutoa mistari mikali kuliko kaligraphy japo sio wasanii

Huyo kali ana bang kenya kwasababu hakuna wasanii ila angekuwepo hapa bongo angefichwa

It's Scars
Kwahiyo unamaanisha Khaligraph amepata "award" ya msanii bora wa hip hop Afrika kwasababu "anabang" Kenya tu?
 
Kwahiyo unamaanisha Khaligraph amepata "award" ya msanii bora wa hip hop Afrika kwasababu "anabang" Kenya tu?
Joh makini alipopata tuzo kwenye nyimbo ya nusunusu kama msanii bora wa hip hop tanzania hiyo ilimaanisha joh makini ni mkali wa hip hop kuzidi niki mbishi?



It's Scars
 
Songa anakuambia "hata ukinitupa kenya nita run 2.5.4 kamuulize kaligraph"

Sasa je ukimtupa niki mbishi kenya, si ata run kama pac?
Mara ya mwisho "Bongo" kuingiza msanii wa hip hop kwenye tuzo za kimataifa ni lini?
 
Joh makini alipopata tuzo kwenye nyimbo ya nusunusu kama msanii bora wa hip hop tanzania hiyo ilimaanisha joh makini ni mkali wa hip hop kuzidi niki mbishi?



It's Scars
Unachoniuliza hakiendani kabisa na nilichokuuliza.
Umesema Khaligraph anatamba Kenya tu coz hakuna wasanii wengi wakali ndani ya Kenya.
Nimekuuliza,tuzo ya msanii bora wa hiphop Afrika ameipata kwasababu anatamba ndani ya Kenya tu?
 
Good.
Appreciate, don't hate. Matter of fact, hakuna rapper yeyote ndani ya bongo anayeweza ku-battle nje ya bongo.... sio kwa zile ze, ze, ze, zenu.
The OG shall be respected.
I don't hate on the boy KJ..I tip my hat amefika mbali na pazuri Kwenye game ya hip hop Africa,,,na kufika apo lazma imeinvole vitu kama promotion,management etc.
But what I'm saying is when it boils down to pen and paper and rhyme schemes punchlines, metaphors and word play he is peanuts compared to other emcees
 
Unachoniuliza hakiendani kabisa na nilichokuuliza.
Umesema Khaligraph anatamba Kenya tu coz hakuna wasanii wengi wakali ndani ya Kenya.
Nimekuuliza,tuzo ya msanii bora wa hiphop Afrika ameipata kwasababu anatamba ndani ya Kenya tu?
We ndio unaona kama hakiendani

Kwani kutamba kunaangaliwa kwa kigezo cha tuzo?

Mziki ulikua kipaji leo unatia hasira, umekua kazi unafanywa na waliokosa ajira/

Nakupa kidogo kilichokosa amira, kigezo kwenye uwezo sio mchezo ni hira/

It's Scars
 
Hizi punchlines ndio uzilinganishe na za OG?
Dear sirGod ni wewe tu ndo unanijua,
Kimawazo kiakili mimi ni mtoto ninakua,
Nina uchungu wa moyo,niwewe tu wa kunichua,
Adui wangu wa kwanza,hah! Nishamuua.

Coz kuna stori dem wangu ana umeme na shoti wanamshtua,
Masela dakka zero ashaibuka geto wanamuipua,
Ninaowaamini hawana dini hawana dua,
Nikianguka wanashushua,

Mi ni kocha wa thamani sometimes nina kochi hadi meza,
Wanadai wanakimbiza mi ntawalipa wanapoteleza,
Ndomana nipo sharp kama lazor, Gillette
Napochana Jilete,
Nikuchane,nikiwa na pesa wako fasta kama jet
Nikiwa na shida kama Michael wana'escape.
 
Back
Top Bottom