TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia.

Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa.

Atakumbukwa King Kikii kwa wimbo wake uliotamba mno wa Kitambaa ika kwa amani Mzee wa Kitambaa Cheupe King Kikii.🙏

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 

Attachments

  • 1731645131645.jpg
    1731645131645.jpg
    274.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom